Wako wapi hawa wadau?

ukiweka unitag basi
 
yaani wako wengi hawaondkani kabisa. Hata huyu mdunguaji Snipper yuko kimya sana. Ujue wengine huenda Mungu keshawavuna...
 
Last edited by a moderator:

Kweli mkuu, Da Asha, AshaDii ni namba nyingine.

Ila pamoja na utani, Jf ya siku za nyuma ilikuwa ya GT kweli kweli!

Babu DC!!
Tulibahatika kuishi vizuri sana aisee, threads za kusisimua na shule ya kufa mtu... hata siku hizi hali ipo ila naona kuna wataalam wa kizaiz kipya naona wamekuja kivingine kwahiyo wazee tumeyumba kidogo

hawakawii kuomba picha...:A S 114:
 
yaani ilikuwa bonge la familia! hebu weka picha yako bana
 
Tulibahatika kuishi vizuri sana aisee, threads za kusisimua na shule ya kufa mtu... hata siku hizi hali ipo ila naona kuna wataalam wa kizaiz kipya naona wamekuja kivingine kwahiyo wazee tumeyumba kidogo

hawakawii kuomba picha...:A S 114:

Lol, kwani nini bwana, si unamtundikia tu pm, ngoja mtibuane sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…