Huyo hats sijui kimempata kitu gani jamani. Mbona umemsahahu dogo wako wa ukwee. The Finest?
Au kakimbizwa na missiles za akina Karucee...lol!!
Babu DC!!
Kuhusu klorokwini nadhani Asprin anaweza akatuambia mahali alipo kidonge mwenzake
....Kabisaa, muulizeni huyo huyo! Teamo yupo?...nauliza tu.
Nikikutafuta wewe Preta nitathibisha kuwa pensheni inanipelekesha....Nitakutafutaje wakati juzi juzi tu hapa tulikuwa pamoja kwenye mambo ya logistics...ingawa tulimaliza kwa aibu aisee!!
Watu kibao wameingia sana mtini hadi inaogopesha. Mwambie na mama wa nyuki wa mashine, Lily Flower aache kuingia mitini. Labda kama anataka tumtafute kwa thread...lol!!
Babu DC!!
Lols. Mi thimo Babu wee.
.... Gaga, Maty, Freema Agyeman, Rudini Kundini kabla
mzee mzima Dark City hajawaanzishia #ROLL-CALL hapa..!
Babu nitafute bana.......ile mambo lazima tuilete tena.......ni kama kumvizia kiziwi.......huku umevaa sox halafu kwenye carpet la manyoya........taratiiiibu........
Kwema swahiba?
Huyo Teamo naye kaamua kujiunga na wapiga chapo...
Hebu ona hapa ,
[FONT=\]
Last Activity: [/FONT][FONT=\]Yesterday [/FONT][FONT=\]17:46
[/FONT]
Babu DC!!
How do you do it ili ukitaja jina la mtu hapa linakuwa link? Halafu lazizi wangu Nyamayao alionekana humu kama mwezi mmoja uliopita !
Namshukuru sana Muumba nimeamka salama u salmin asubuhi hii,
Dahhh,....Gone are those days unafungua #JF unachungulia Teamo yamemkumba yapi leo...
au Asprin kakoswakoswa na majanga gani kwenye ile Baa yao!
bila kumsahau klorokwini na chombeza zake za hapa na pale....
huku Fidel80 na The Finest (huyu mara ya mwisho alianza kuhubiri neno na yeye!) wakibandika bandua
mpaka kinaeleweka.