Wako wapi hawa wadau?

Vibaya hivyo Rose1980...why can you do this to Babu?

Kama kakukosea si unasemea kwa bibi??

Nimefurahi sana kukuona. Nitumie namba yako basi nikupe ujumbe muhimu!!

Babu DC!!
WiseLady naye sijamsikia kitambo mzee mwenzangu una P. O.Box zake
 
Last edited by a moderator:

Hahahahahha! Eti trip nne! Lol...
Sasa wajukuu umeshawaona babu?!!
 
Babuuu! Nipo...
Nimekuja kuitikia wito...!


Babu and Co. missed you so much....

Kwa nini unapotea kiasi hicho lakini??

Usirudie kupotea bwana....ukuje kuje umsalimie hata wazee wenzangu Kaizer na Asprin!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahha! Eti trip nne! Lol...
Sasa wajukuu umeshawaona babu?!!


Nasikia vijana wanatumia huu mkakati (kuwafanyia permanent booking labour room) ili kuwashikisha adabu...

Hebu nambie...trip ya ngapi sasa??
 
nipo mdogo wangu, nimejaa tele.....
majukumu tu mwezi huu wa January yanaongezeka, but I am alive.
Happy new year my dear


Hii picha iko poa sana ingawa macho bado ni kama ya yule uliyemficha!!

But...babu yuko poa na hii zaidi!1
 
Hehehhehehe babu una maswali mengiiii! Dark City


Sasa inakuwaje wenzio tunahesabu trip nne wakati wewe unatuhesabia moja??

Nahisi kama nahitaji msaada wa wazee wangu kuelewa haya unayonieleza!!

Ila usiwe na shaka...kama shoka hazijakitika basi msitu hauwezi kufanya party...lol!!
 
Sasa inakuwaje wenzio tunahesabu trip nne wakati wewe unatuhesabia moja??

Nahisi kama nahitaji msaada wa wazee wangu kuelewa haya unayonieleza!!

Ila usiwe na shaka...kama shoka hazijakitika basi msitu hauwezi kufanya party...lol!!

Hahahahhahha..... Usiumize kichwa babu! Si unajua mjukuu wako nilivo innocent!! Dark City
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…