Wako wapi hawa Makamanda machachali wa Polisi?

Wako wapi hawa Makamanda machachali wa Polisi?

Joined
Jun 3, 2025
Posts
94
Reaction score
144
Hello wazee,ni kitambo kama maajabu kutowaona katika pilika pilika za polisi hawa makamanda maana kama wengekuwa ma RPC basi tungesikia tu au kama wanapewa au kuhamishwa vitengo maana kiutaratibu inapotokea kiongozi anahamishwa au kupewa kijiti tunataarifiwa wazi.

1.Kamanda AHMED MSANGI,jembe langu sana hili,wengi tulilifahamu,jamaa katembea sehemu ngumu ngumu kama RPC na mara ya mwisho alitokea MBEYA akatupwa MWANZA na cheo cha kamishna msaidizi.Vipi huyu bwana yu wapi? kastaafu au? .2.Kuna bwana mmoja wa kuitwa NSATO MARIJANI alishawahi kuwa kamanda wa operation na mafunzo kipindi cha magufuli,na inasemekana walihenya jkt pamoja na magufuli,alipotea ghafla tuu baada ya kumpa kijiti mzee LIBERATUS SABAS.

3.MZEE WETU MUROTO japo alikuwa anazingua sana,kwa kuwadhalilisha watuhumiwa mitandaoni na kwenye press vipi nae yu wapi?

4.Vipi kuhusu mzee MAMBOSASA maana mara ya mwisho sirro alimtoa DSm na kumpeleka CCP MOSHI kama mkuu wa chuo ila kwa sasa kuna mkuu wa chuo mwingine pale.
5ABDULLRAHMAN KANIKI alikuwaga naibu IGP miaka mingi tangu kwa igp mwema hadi ernest mangu pale.

Tumwage mchele,si kwa ubaya ni story tuu za hapa na pale na. kama kuna wengine tuwataje,polisi ni chombo chetu japo kuna kukwazana.
 

Attachments

  • Kamishna Marijan.jpg
    Kamishna Marijan.jpg
    169.4 KB · Views: 23
  • polis-pic.jpg
    polis-pic.jpg
    81.4 KB · Views: 19
Muroto alitaka apite na Mimi, sijui nilimkosea Nini yule mzee. Hivi Hawa wanaingiaga Misikitini au Makanisani kusali?... Maana sio kwa hujma zile😃
huyu inasemekana alikuwa anawadhalilisha watuhumiwa infront of the media haijalishi kosa lako,inasemekana alistaafishwabaada ya kuonwa anazingua shauri ya umri, sjui kweli?
 
Back
Top Bottom