Madihani
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 6,326
- 7,522
Lupalilo,Lupila,Iwawa na Luwumbu.wakinga kwao Wapi?
Lupalilo,Lupila,Iwawa na Luwumbu.wakinga kwao Wapi?
Nimeshapita,nipe habari.Michael Benson Mahenge hebu pita hapa
Hakuna sehemu isiyo na uchawiwepi wachawi zaidi?
Loh umechochora kwelikweliBulongwa ni Wamahanji sio Wakinga.
ila Makete kumezidiHakuna sehemu isiyo na uchawi
Ha ha haHiyo pensi ya fella uko chini na combination ya miguu yake sio mchezo
Hata Bulongwa wapo wakinga hao unaowataja ni sehemu ndogo sanaLupalilo,Lupila,Iwawa na Luwumbu.
Yeye mwenyewe ni Mkinga wa Unenamwa,mti wenye matunda hupigwa mawe.Hakuna sehemu isiyo na uchawi
Hatari sanaMasharti kaka, bora uwe kituko Lakini uwe na Pesa ndivyo wanavyoamini Pesa kwanza
SijakuelewaLoh umechochora kwelikweli
Wewe unaamini ni Mkinga huyo,kwani humjui yule mchekeshaji.Masharti kaka, bora uwe kituko Lakini uwe na Pesa ndivyo wanavyoamini Pesa kwanza
Kwa Bulongwa Wamahanji ni wengi zaidi ila kwa Wilaya kweli ni Wakinga wengi zaidi ya 50%.Hata Bulongwa wapo wakinga hao unaowataja ni sehemu ndogo sana
Yeye mwenyewe ni Mkinga wa Unenamwa,mti wenye matunda hupigwa mawe.
halafu mimi huwa nawashangaa sana wanaowashikia bango la uchawi wakinga. Hivi vituko vyote vya uchawi sijawahi kusikia kituko chochote kutoka Makete nasikia tu Sumbawanga, Songea, Tabora n.k hebu nisimulieni tukio moja la kishirikina kutoka ukinga...lilolosikika kwenye vyombo vya habari sio ulilosimuliwa na jirani yako mwenye wivu wa kimaskiniWanatusema kwasababu tunatafuta sana pesa na tunazipata,mti wenye matunda hupigwa mawe.![]()
halafu mimi huwa nawashangaa sana wanaowashikia bango la uchawi wakinga. Hivi vituko vyote vya uchawi sijawahi kusikia kituko chochote kutoka Makete nasikia tu Sumbawanga, Songea, Tabora n.k hebu nisimulieni tukio moja la kishirikina kutoka ukinga...lilolosikika kwenye vyombo vya habari sio ulilosimuliwa na jirani yako mwenye wivu wa kimaskini
Hii post yako ya chini umeongea kama vile Bulongwa hakuna wakinga kabisa kitu ambacho sio kweliKwa Bulongwa Wamahanji ni wengi zaidi ila kwa Wilaya kweli ni Wakinga wengi zaidi ya 50%.
Jumlisha Wamagoma na Wawanji.
Bulongwa ni Wamahanji sio Wakinga.
Wanatusema kwasababu tunatafuta sana pesa na tunazipata,mti wenye matunda hupigwa mawe.
trueBabu zetu wanatusimulia kuwa Wakinga walikuja Bulongwa kutafuta maisha na kupora baadhi maeneo yetu,ni sawa na wageni tu ila miaka mingi imepita na wamekuwa wenyeji.Hii post yako ya chini umeongea kama vile Bulongwa hakuna wakinga kabisa kitu ambacho sio kweli
Huyo Msukuma wewe umechanganya.![]()
Sanga akienda kwa Mwakipande kuchukua dawa za utajiri