Wakinadada ni wabahili jamani

Mwanamke akikuhudumia sana cku limetokea tatizo hata akafoka kidogo tu utasema anakunyanyasa kisa anatoa hela, kaamua kujibana utoe wewe utasema bahili,

Mnatakaje jamani.
 
Mi nachokaga kitu kimoja, akiwa peke yake anaishi kwa hela zake mwenyewe ni mbahili balaaa, sasa muoe weeeeee!!! matumizi anafanya kujiachia tu, daaah!!

Mkuu
Tena wanatumia kwa fujo mnoo...hivi kwanini?
 

Ameen.
Ila kuna wanawake wapo sijui nadhani kwa sababu za kumkomoa wanaume zao au? Wanashindwa kuendana na mabadiliko ya kiuchumi na kimaisha kwa ujumla. Wanashindwa ku realize kwamba kwa wakati huu, na sio kwa kipind kingine chochote kile kwamba role ya mwanamke sio tu kupika, kuzaa bali pamoja na kuwa msaidizi ila zaidi financial assistance kwa mume....
 

Teh teh teh
 

Kaka mtumishi maisha ya sasa hivi pasipo kusaidiana sijui. Na kinachotukwamisha zaidi ni nature yetu waafrika Ya "utegemezi". Mtu mmoja anabeba majukumu ya watu 15 Mmh. Wengine wamebahatika lakini, waume zao wana-manage kila kitu. Ukoo Ukikutana ni kupanga tu vacation. Mwisho wa siku wewe mwenyewe ndo utaamua kama umsaidie or usimsaidie huyo mumeo.
 
Teh teh teh

Hehe my kaka, he is still my man ujue, sitopenda pia ndoto zake zikwame na at the same time sitotaka akikwama tu anitilie mie jicho la huruma. Huku kwenye urafiki/ uchumba namkomaza kuwa mwanaume responsible, anayejua kutokwa jasho pasipo kukata tamaa asije akaniletea mabalaa kwenye ndoa kumbe mimi mwenyewe ndo nilimlemaza.
 


Shortly kwamba wanawake ni wabinafsi mno kuliko viumbee wengne wote, sijui kwanin
 

So bright.
 
Duuu! Kwa wale wakristo hasa wanawake ebu wasome Mithali 31 yote waone ni nani anawajibu wa kutunza family. Shetani muongo sana ameharibu family nyingi ameharibu wanawake katika ndoa zao amewapiga upofu wadada hawaoni tena biblia zao ingawa wao ndio wanaongoza kuzibeba na kutafsir mistar midogo midogo.
Jmn kina dada zindukeni "mke mwema nani awezaye kumuona ....."mmesahau majukumu yenu ya kibiblia me kusoma kwangu biblia sijaona mahali kumeandikwa mwanaume akulishe na kukuvalisha ww mwanamke labda aliyewahi k you kukutana na mstar huo anionyeshe. But wa mwanamke kulisha family upo soma Mithali 31 yote then mkatubu ndio mrudi kuchangia thread hiii.
 
Hawa watu ni balaaa kabsa hata mimi nimeliona hilo, mwanamke hawezi kujitolea hata kama hela anayo mpaka mlale njaa ndo atajua huna hela.
 
Dah mleta mada umegonga mule mule, hutu tuviumbe aina ya kike ni shida, wabahili hawa sijaona, hata kama anakuzidi mshahara mara 10 lakini anaweza akataka kila kitu umfanyie, dah Halafu pata kidemu sasa Street ndio utajuta
 
Nmepoa ndugu yani unakuta hadi useme nikopeshe hela ndo anakupa akati mnatumia wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…