comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 2,732
- 2,477
Pm, na laki yangu mkononiWapi?
Pm, na laki yangu mkononiWapi?
Tena pumba kweliHuko pm kwenyewe bora mngekuwa mnaenda kuongea nao vya maana, pumba tupu. No wonder wanawafungia.
Nipo dodoma naomba niku pm tukajirushe viwanjaTatizo yule member wa kiume kidume ndiye aliyewakimbiza wadada mpaka kufunga pm yuleee mwenye uparaaa kibongeee wadada mpaka sasa hivi wanaogopa na wanapishana na magari ya mishahara.
Nyongeza jaman sijafunga pm aliyepo Dodoma anaipm Leo Nina nygeeee.
Yaani wanaboa basi tu utafanyaje usije onekana una dharau😂
Unasoma unaishia tu na booonge la msonyo unapita hivi.
LA juushavu la wapi chini au juu?
Afadhari ipo wazi...Me nimefungua bwana 😂
Unasoma unaishia tu na booonge la msonyo unapita hivi.
"Afadhari" au sioAfadhari ipo wazi...
Ukuje twende cocorico 🏃🏃Arusha wapi maana tarehe 20 nakuja hukoo
Nitarekebisha mamiii... Nashukuru tu ipo wazi"Afadhari" au sio
Rekebisheni miandiko jamani
SawaNitarekebisha mamiii... Nashukuru tu ipo wazi
Unawaingiza king eeeeh yaani wewe hujafunga pm????Tatizo yule member wa kiume kidume ndiye aliyewakimbiza wadada mpaka kufunga pm yuleee mwenye uparaaa kibongeee wadada mpaka sasa hivi wanaogopa na wanapishana na magari ya mishahara.
Nyongeza jaman sijafunga pm aliyepo Dodoma anaipm Leo Nina nygeeee.
Hii Maana yake ni kwamba!??Mwombe kwenye thread unazomuona kuwa unaomba akufungulie pm.
Akiona unafaa atakufungulia.
Tena hawa wafungua nyuzi za kuomba kufunguliwa pm ndio mafurushi kabisa. Sijui hata vichwani mwao huwa wanawaza nini, maana vitu wanavyoandika ni ishara tosha la ombwe lililopo vichwani mwaoTena pumba kweli
Ni heri uonekane una dharau kuliko kujibu hayo mashudu.Yaani wanaboa basi tu utafanyaje usije onekana una dharau
Baba hii ndio tunaita povu la kiwango gani !???Unakuta yuko single/ mother,huko mtaani Hana soko, kabisa huku Kuna vijana wasiotumia vumbi la kongo a.k.a mundende ya papaaa bana kongo anafunga pm alafu akifika 35+ hajaolewa anaseama kalogwa ooh kila mtu ana bahati zake wakati pm mmefunga na mnachangua wenye magar wakati baako hata baiskel ya kukodi hajawah kukodi
Mkuuu umegusa mioyo ya watu papuchi imeliwaa vibaya mno na kale kananii kapewaWalivokuwa washamba washamba Pm ilikuwa wazi,,
Baada ya kutongozwa na wengine kuliwa na hatimaye na zile screenshoot kuwekwa hapa na baadhi ya mabaharia ndio wakastuka kwamba wameliwa na kuanikwa hadharani, wakaamua kupiga lock,,
Ukiona kafunga PM yameshamkuta ya kumkuta
sio povu mzeee babaMbona povu