Wakina dada wa JF acheni kufunga pm zenu

Joseverest

Joseverest

Verified Member
Joined
Sep 25, 2013
Messages
42,774
Points
2,000
Joseverest

Joseverest

Verified Member
Joined Sep 25, 2013
42,774 2,000
MKUU YAANI UNACHANGANYWA NA MIANDIKO YA WADADA? HAHAHA

KUWA MAKINI, SIO KILA ID YA KIKE NI MWANAMKE
 
Mzigua90

Mzigua90

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2014
Messages
33,904
Points
2,000
Mzigua90

Mzigua90

JF-Expert Member
Joined Sep 23, 2014
33,904 2,000
Tena hawa wafungua nyuzi za kuomba kufunguliwa pm ndio mafurushi kabisa. Sijui hata vichwani mwao huwa wanawaza nini, maana vitu wanavyoandika ni ishara tosha la ombwe lililopo vichwani mwao

Ni vyema na heri zifungwe tu hizo pm.
Hahahahaaa.
 
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Messages
48,602
Points
2,000
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2010
48,602 2,000
Acheni tu wafunge pengine wanajua udhaifu wao...
 
Faljarah Mahsen

Faljarah Mahsen

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2019
Messages
945
Points
1,000
Faljarah Mahsen

Faljarah Mahsen

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2019
945 1,000
Tatizo yule member wa kiume kidume ndiye aliyewakimbiza wadada mpaka kufunga pm yuleee mwenye uparaaa kibongeee wadada mpaka sasa hivi wanaogopa na wanapishana na magari ya mishahara.

Nyongeza jaman sijafunga pm aliyepo Dodoma anaipm Leo Nina nygeeee.
hahaha !! Niko Ihumwa Pasikuzotee karibu Manofu
 
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Messages
45,482
Points
2,000
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2009
45,482 2,000
Bila kumsahau Kiranga nataka nije tule pension hiyo mbaba fungua PM.
Mimi ukiniona nimekujibu tu ujue PM yangu iko open, kuna "flat earth society" fulani nimewapiga ban, hao hata wanachoandika sikioni, labda hao ndio hawawezi kunitumia message.

Mwanamme anayelazimisha ufungue PM hakawii kulazimisha ufungue chupi.

That's thirsty and shady.
 
Demiss

Demiss

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2017
Messages
32,461
Points
2,000
Demiss

Demiss

JF-Expert Member
Joined May 4, 2017
32,461 2,000
Ngoja nianze safari ya kuzama Pm
Mimi ukiniona nimekujibu tu ujue PM yangu iko open, kuna "flat earth society" fulani nimewapiga ban, hao hata wanachoandika sikioni, labda hao ndio hawawezi kunitumia message.

Mwanamme anayelazimisha ufungue PM hakawii kulazimisha ufungue chupi.

That's thirsty and shady.
 

Forum statistics

Threads 1,325,742
Members 509,278
Posts 32,201,600
Top