Wakina dada wa JF acheni kufunga pm zenu

Wakisoma hapa wataelewa somo
Demiss kwenye huo uzi umetoa siri ya kambi mbona
 
Tatizo yule member wa kiume kidume ndiye aliyewakimbiza wadada mpaka kufunga pm yuleee mwenye uparaaa kibongeee wadada mpaka sasa hivi wanaogopa na wanapishana na magari ya mishahara.

Nyongeza jaman sijafunga pm aliyepo Dodoma anaipm Leo Nina nygeeee.
o_O Mama yangu!
 
Njoo moro nikutulize
 
Back
Top Bottom