He he he, nimetamani kusema kitu, ila bhaas tu
wee sema tuu au ni pm
He he he, nimetamani kusema kitu, ila bhaas tu
Habari wana great thinkers,kuna katabia au tabia ambayo wanayo wakina dada wa humu jf ambayo sio nzuri na inaweza ikawafikisha pabaya.Siku kama tano zilizopita nilipost thread ya kutafuta mchumba na Mungu si athuman akatokea dada mmoja akani PM namba yake na tukapata kufahamiana kiasi flani.Tatizo linakuja pale ambapo kila nikipiga nae story analazimisha kujua kazi yangu na nalipwa kiasi gani kwa mwezi,alinichosha zaidi pale aliponiuliza kama nina gari au la..apo nilichoka kabisa na kukosa hamu hata ya kuzungumza nae...Je hii ni sahihi kwa wanavyotufanyia hawa dada zetu?
Maadamu umeamua kuja humu kutafuta machumba, basi kubali pia majibu utakayo pata. Si lazima majibu yote yawe ya kukufurahisha.
me too...now am back so worry not. mzima wewe lakini?
sista duu wa MJini mshahara laki 2 na nusu anamiliki Iphone 5,pochi ya laki 3,viatu laki 1 na nusu alafu jumapili anaenda kumuomba Mungu amtendèe Miujiza wakati yeye mwenyewe kashatenda tayari.. :-D
Habari wana great thinkers,kuna katabia au tabia ambayo wanayo wakina dada wa humu jf ambayo sio nzuri na inaweza ikawafikisha pabaya.Siku kama tano zilizopita nilipost thread ya kutafuta mchumba na Mungu si athuman akatokea dada mmoja akani PM namba yake na tukapata kufahamiana kiasi flani.Tatizo linakuja pale ambapo kila nikipiga nae story analazimisha kujua kazi yangu na nalipwa kiasi gani kwa mwezi,alinichosha zaidi pale aliponiuliza kama nina gari au la..apo nilichoka kabisa na kukosa hamu hata ya kuzungumza nae...Je hii ni sahihi kwa wanavyotufanyia hawa dada zetu?
Do u know how am living?me nina uwezo wa kukumiliki wewe pamoja na uyo bwana wako mkala vizuri,mkalala pazuri halikadhalika na kwenda chooni kutoa takataka za tumboni kwenu so u better watch ur fu**in mouth...I have never come across with such a mother*****in bi**h like u.wewe utabaki kuwa mpoke pe**s inside your 0714 for the rest of ur life