Wakina Dada Embu Acheni Hii Tabia...Inakera Mno

Habari wana great thinkers,kuna katabia au tabia ambayo wanayo wakina dada wa humu jf ambayo sio nzuri na inaweza ikawafikisha pabaya.Siku kama tano zilizopita nilipost thread ya kutafuta mchumba na Mungu si athuman akatokea dada mmoja akani PM namba yake na tukapata kufahamiana kiasi flani.Tatizo linakuja pale ambapo kila nikipiga nae story analazimisha kujua kazi yangu na nalipwa kiasi gani kwa mwezi,alinichosha zaidi pale aliponiuliza kama nina gari au la..apo nilichoka kabisa na kukosa hamu hata ya kuzungumza nae...Je hii ni sahihi kwa wanavyotufanyia hawa dada zetu?

Huyo ni Gold digger at work! Be careful.

Tiba
 
Kama huna pesa hakuna mapenzi. Tafuta pesa upendwe/uheshimike
 
safi kabisa hivyo ndivyo vipaumbele vya mwanaume wa kweli....kazi kwanza...then income ni kiasi gani....mchuma ama asset kuwekeza ALAFU TAFUTA DEMU...namkumbuka demu wangu mmoja matha nilimpata wakati nikiwa kijana --mi ni kupiga sound kiuno kwa sana,,,,anarudi kwao...akataka hela ya matumizi nkamwambia sina akaniambia sasa unatafuta mwanamke huna hela ili iweje!??huo mda si ungetafuta hela tehhehe.....alinizindua japo hatukuachana nimjasilia mali wa ukweli.....
 
tatizo unatafuta mwanamke wa barabarani, kuna aina mbili ya wanawake 1. wa nyumbani 2. wa barabarani. mwanamke wa barabarani kamwe hawezi kuwa wa nyumbani , ila wa nyumbani anaweza kuingia barabarani upo hapo, ipo siku utakutana na jini shauri yako

Ningekuwa mimi ningefurahi kuulizwa hayo maswali matatu niliyobold hapo juu, maana yanatosha kabisa kukufahamisha kama huyo ni wife material au laaa! Inawezekana kwake, pesa mbele, mapenzi yanafuata! Kwa hiyo kama unatafuta mke kwa maana ya mke, nafikiri jibu unalo ila kama unatafuta kiburudisho naona pia jibu unalo, huwezi kuwa na kiburudisho cha maana kama huna hivyo vitatu nilivyobold hapo juu!!!

Ama kweli ndugu nimeamini maneno yako..Watu wapo kikaz zaidi

Mkuu lazima ukae unachotakiwa wewe ni kwenda mdogo mdogo usiwe na haraka ya kuifurahisha jamii ili uonekane na wewe una mke ukifanya masihala lazima ukae kama jina lako kwani siku hizi watu haaogopi talaka kama zamani ukikosea kama sio mwanamume anaemtaka ujue atakimbia tu
 
Last edited by a moderator:
tafuta mkwanja unataka mke huna kitu utaishia hivyo hivyo ww ndo ubadilike uchape kazi upate pesa za kulea familia kalaga baho
 
Ningekuwa mimi ningefurahi kuulizwa hayo maswali matatu niliyobold hapo juu, maana yanatosha kabisa kukufahamisha kama huyo ni wife material au laaa! Inawezekana kwake, pesa mbele, mapenzi yanafuata! Kwa hiyo kama unatafuta mke kwa maana ya mke, nafikiri jibu unalo ila kama unatafuta kiburudisho naona pia jibu unalo, huwezi kuwa na kiburudisho cha maana kama huna hivyo vitatu nilivyobold hapo juu!!!
jua kali jamani...me mpenzi wangu hana gari kwa kweli natesekaje na daladala nampa miaka 3 asiponunua naandamana
 
Habari wana great thinkers,kuna katabia au tabia ambayo wanayo wakina dada wa humu jf ambayo sio nzuri na inaweza ikawafikisha pabaya.Siku kama tano zilizopita nilipost thread ya kutafuta mchumba na Mungu si athuman akatokea dada mmoja akani PM namba yake na tukapata kufahamiana kiasi flani.Tatizo linakuja pale ambapo kila nikipiga nae story analazimisha kujua kazi yangu na nalipwa kiasi gani kwa mwezi,alinichosha zaidi pale aliponiuliza kama nina gari au la..apo nilichoka kabisa na kukosa hamu hata ya kuzungumza nae...Je hii ni sahihi kwa wanavyotufanyia hawa dada zetu?
Sasa na wewe siumuulize maswali kama hayo? Tatizo anavyo vigezo anataka kujua status yako haraka ili msipotezeane muda. Kumbuka hata sura hamjuani
 
Maswali ya kawaida mbona! Mjini hapa jua kali halafu utafte mbangaizaji!?...khaa!
 
Mpwa wangu, pole sana kwa yaliyokukuta, hata hivyo hio ni changamoto ndogo sana huyo binti kawa mkweli sana. Kuulizwa vitu hivyo ni suala la kawaida sana na ni muwazi vya kutosha sana, tatizo lako umeaminishwa kuwa kila mwanamke atakachouliza hasa akiuliza vitu kama hivyo basi huyo ni Malaya, No No no, anataka apime jinsi unavyojituma. Si kweli kwamba eti kila kitu lazima muanze at ground zero mnapooana, labda mwenzio ana mshahara mzuri, ana gari zuri. Anataka ajue uko focused kiasi gani. Laiti ningempata huyo, ningemuoa fasta.
Ningefurahi zaidi kama ungeichukulia changamoto hio kwa upande ambao ni positive kuliko huko ulikopelekea mawazo. Nawapenda sana akina Dada wa namna hii, KWELI ITAKUWEKA HURU.
CC Dada zangu Wapendwa Aine Paloma Little Angel Mamndenyi bila kuwasahau na Wapwa zangu saudari na Sosoliso na Mwanakwaya maarufu ladyfurahia

Well said.
 
Hahaha! Nimecheka kweli. Watu wako kimaslahi zaidi hapendwi mtu yapendwa pochi yakhe! Pole lakini mwombe Mungu wako atakuja muda ukifika!

Habari wana great thinkers,kuna katabia au tabia ambayo wanayo wakina dada wa humu jf ambayo sio nzuri na inaweza ikawafikisha pabaya.Siku kama tano zilizopita nilipost thread ya kutafuta mchumba na Mungu si athuman akatokea dada mmoja akani PM namba yake na tukapata kufahamiana kiasi flani.Tatizo linakuja pale ambapo kila nikipiga nae story analazimisha kujua kazi yangu na nalipwa kiasi gani kwa mwezi,alinichosha zaidi pale aliponiuliza kama nina gari au la..apo nilichoka kabisa na kukosa hamu hata ya kuzungumza nae...Je hii ni sahihi kwa wanavyotufanyia hawa dada zetu?
 
Ukiulizwa SWALI dawa yake KUJIBU sio kukasirika na kuja kutusumbua sisi ambao atukukushauri kuanzisha uhusiano na uyo mtu
 
Ata kama life is change but this is too much

Yap! Ila kwanini iwaumize kichwa? Ukikutana na wa hivyo we kaa ujue huyo si wife material so we anza kujisepesha mapemaa, na si lazima ukae chini ulie wakati uwamuzi ni wako wa kutoa au kuto kutoa
 
Last edited by a moderator:
Sasa wewe atakupendaje wakati hamjaonana na mmekutana kwenye mnada?(JF),lazima tu atakupendea ulichonacho

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom