Habari wana great thinkers,kuna katabia au tabia ambayo wanayo wakina dada wa humu jf ambayo sio nzuri na inaweza ikawafikisha pabaya.Siku kama tano zilizopita nilipost thread ya kutafuta mchumba na Mungu si athuman akatokea dada mmoja akani PM namba yake na tukapata kufahamiana kiasi flani.Tatizo linakuja pale ambapo kila nikipiga nae story analazimisha kujua kazi yangu na nalipwa kiasi gani kwa mwezi,alinichosha zaidi pale aliponiuliza kama nina gari au la..apo nilichoka kabisa na kukosa hamu hata ya kuzungumza nae...Je hii ni sahihi kwa wanavyotufanyia hawa dada zetu?
ulitaka akuulizenini sasa? au akuulize kama una dudu kubwa .... vijana wacku hizi majanga matupu
Ningekuwa mimi ningefurahi kuulizwa hayo maswali matatu niliyobold hapo juu, maana yanatosha kabisa kukufahamisha kama huyo ni wife material au laaa! Inawezekana kwake, pesa mbele, mapenzi yanafuata! Kwa hiyo kama unatafuta mke kwa maana ya mke, nafikiri jibu unalo ila kama unatafuta kiburudisho naona pia jibu unalo, huwezi kuwa na kiburudisho cha maana kama huna hivyo vitatu nilivyobold hapo juu!!!
Hayatuhusu.
Hayatuhusu.
Haaaa umenena mkuu,Mkuu lazma ajihakikishie uhakika wa Kula, pamba + bata za town.
Mwanamke mwema hapatikani kwa
sandakalawe
Habari wana great thinkers,kuna katabia au tabia ambayo wanayo wakina dada wa humu jf ambayo sio nzuri na inaweza ikawafikisha pabaya.Siku kama tano zilizopita nilipost thread ya kutafuta mchumba na Mungu si athuman akatokea dada mmoja akani PM namba yake na tukapata kufahamiana kiasi flani.Tatizo linakuja pale ambapo kila nikipiga nae story analazimisha kujua kazi yangu na nalipwa kiasi gani kwa mwezi,alinichosha zaidi pale aliponiuliza kama nina gari au la..apo nilichoka kabisa na kukosa hamu hata ya kuzungumza nae...Je hii ni sahihi kwa wanavyotufanyia hawa dada zetu?
. Ha ha ha... Anakompliketisha tena si kidogo, angetoa hayo majibu saa hizi wangekuwa on the "next level" Mdada needs to know what she is settling for ati!
Nina wasiwasi na wewe ni mmoja wa wanaouliza gari na mshahara wa mtu...These are personal issues
Kha wewe Kaka, unaomba Tigo kama mshahara au? Maisha makubaliano...Mie nakugomea though wapo ambao nahakika kwao sio issue. Kama wewe Tigo matters - funguka, atakaemudu atajitosa, atakayeshindwa ataanza mbele kiulainiii. The point is "karata ziwekwe mezani, maamuzi yafanyike...no suprises".What if nikakwambia nina gari na nalipwa 2,000,000 as my take home salary after deduction...Nikikuomba 0713 utanipa?manake hiko kitu mwisho wa siku mnalazimika kutupatia bila kupenda
Kama hayakuhusu pita kimyakimya,no need to open ur mouth..U better keep ur mouth shut
Mjini hapa mkuu watu hawajaja kuangalia magorofa
Eeh..hapa naona kimenuka
Ndugu yangu kama unatafuta wife huku kwenye mitandao ya kijamii lazima wakukalishe chini kama jina lako.