Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,365
- 100,406
Mpwa wangu, pole sana kwa yaliyokukuta, hata hivyo hio ni changamoto ndogo sana huyo binti kawa mkweli sana. Kuulizwa vitu hivyo ni suala la kawaida sana na ni muwazi vya kutosha sana, tatizo lako umeaminishwa kuwa kila mwanamke atakachouliza hasa akiuliza vitu kama hivyo basi huyo ni Malaya, No No no, anataka apime jinsi unavyojituma. Si kweli kwamba eti kila kitu lazima muanze at ground zero mnapooana, labda mwenzio ana mshahara mzuri, ana gari zuri. Anataka ajue uko focused kiasi gani. Laiti ningempata huyo, ningemuoa fasta.
Ningefurahi zaidi kama ungeichukulia changamoto hio kwa upande ambao ni positive kuliko huko ulikopelekea mawazo. Nawapenda sana akina Dada wa namna hii, KWELI ITAKUWEKA HURU.
CC Dada zangu Wapendwa Aine Paloma Little Angel Mamndenyi bila kuwasahau na Wapwa zangu saudari na Sosoliso na Mwanakwaya maarufu ladyfurahia

Last edited by a moderator: