Wakili Masha alinufaikaje na Deep Green Finance?

WEWE UTAKUWA UMEPEWA PESA NYINGI MNO.

HUU SASA NI MSIMAMO WA WANA JF KUWA TUSISOME POST ZA HUYU JAMAA KATUMWA NA MAFISADI.SHAME ON YOU.

Mimi wa kwanza kutosoma mitundiko yake, Ninawasi wasi huyu Shy ndiye Balile, kituko tuu kama hana cha kuandika basi asome yanayowekwa na wengine....nina hasira naye sana...
 
Shy asije akawa ndiye huwa anatuma jumbe za vitisho kwa Saed Kubenea kwa njia ya simu!

Inaelekea Shy anayo maslahi mazito katika ufisadi unaoandikwa katika MwanaHalisi, kiasi kwamba anaweza kutumia njia zozote hata zisizokuwa za halali kumnyamazisha Kubenea.
Kuna umhuhimu wa kuanza kumchimba na kumfahamu huyu Shy hasa ni nani, na anavyohusiana na mafisadi anaotaka wasifahamike.
 
IMMA wamesema wamewatuma wanasheria wao kwenda mahakamani, sasa ustaarabu na siasa za kweli, ni kusubiri kama watakwenda, wasipoenda basi ni haki kuwarushia mawe, kwa hiyo ustaarabu unadai kuwapa nafasi, IMMA wajitayarishe kwenda mahakamani, sio kuwarushia matusi na kejeli bila ya kuwapa haki ya dual process.

Ahsante Wakuu
 
Anayeshitaki mahakamani huwa hatangazi utaona summons tu.
 
Mkuu ES,

Ukitaka kumshitaki mtu, unaitangazia dunia kwanza?

Hawana ubavu wa kwenda huko maana wameshaiba nyingi na mahakamani
wanaweza kutapika, watu wengi tukajua kumbe wamevimbiwa.

Yeye Masha aendelee kuchapa kazi tu maana nchi ya Wadanganyika hakuna litakalompata.
 
MIMI NAITWA mr.KAIZA TWALIPO, LEO NI SIKU YANGU YA KWANZA KUANDIKA MESSAGE HAPA JAMBO FORUM..BAHATI MBAYA AU NZURI NIMEZALIWA TAREHE 09 MWEZI 12 MWAKA 1961,SIKU YA UHURU WA TANGANYIKA, NA NINAISHI NCHINI MAREKANI...ANWANI 2079 JUBILEE CT, COLUMBIA MD 21046...EMAIL NI TWALIPO1961@YAHOO.COM...

MY FORMAL INTRODUCTION...HIYO NA ANATASEMA NIMEPEWA HELA KUFUATA COMMON SENSE ASEME TU..USHENZI MTUPU KWA WANA JF...HIZO PESA KWANGU SIZIHITAJI...LAKINI UPUUZI WA WATU FULANI KATIKA HII FORUM HAUWEZI KUPUUZIWA UENDELEE, ...SAID KUBENA HAWEZI KUWA GODFATHER WA JF NA MEDIA TANZANIA..I LOVE THIS FORUM BUT I HAVE TO SAVE IT FROM STUPIDITY FROM A FEW JOB, INBALANCED CONTRIBUTORS FROM CHAOS & UCHOCHEZI...THE TANZANIA TABLOID IS GETTING OUT OF HAND, MAKING PESA BECAUSE RUMORS ARE NEWS, SOME UNFOUND BASELESS NA HATA MIRADI YA KAWAIDA UMEKUWA NI KASHFA...

STOP THE STUPIDITY, UCHOCHOZI WA LEO KUFANYA KUSOMA KWOTE WATANZANIA WA NJE WENGINE MNA FAMILIA ETI SOURCE YENU NI GAZETI LA MWITA GACHUMA NA SAID KUBENA, NDIO MNATAKA KULETA UCHOCHEZI WA HABARI ZINGINE ZA KISHENZI

KUSHABIKIA UFISADI NA KUENEZA RUMORS HAKUWEZI KUTUSAIDIA SISI WATANZANIA KAMA NCHI MASIKINI, SASA HATA MAKANISANI NI HILO TU NDIO ISSUE...MUACHE USHENZI NA ANATAKA AJE KWANGU KWA KUTETEA UJING ETI MTAJE JINA, HILO HAPO NA ANWANI NIMETOA FOR THAT...UTEMI WA INTERNET NAO UTEMI (ushIROMBO)...PONGEZI KWA SHY & COMMON SENSE PEOPLE LIKE FM ES & SHY, HAMUWEZI KUPATA OPINION ZINGINE. TOLERANCE IKO WAPI, USHABIKI WA KITOTO MUACHE WABONGO
 
Ngurudoto

Kwanza karibu sana JF.

Hapa kuna kila aina ya uchangiaji huo ambao huitwa udaku n.k. Hoja za msingi ambazo sio udaku siku zote husimama na wala haziteteleki. Angalia swala la Richimonduli kwa mfano, Buzwagi gate, BOT na mambo mengine mengi ambayo yametolewa hapa na kuleta angalau matumaini kwa hali ya walipa kodi wengi watanzania ambao maisha yao ni ya kubahatisha.

Sheria za JF haziruhusu majina ya wachangiaji kutajwa hadharani hapa lakini kama unavyojua JF ni moto wa kuotea mbali kwa MAFISADI na wale ambao sio MAFISADI ndio moto wa kuota.

Karibu sana tumkome Nyani giladi tena bila aibu.
 
Hawana ubavu wa kwenda huko maana wameshaiba nyingi na mahakamani
wanaweza kutapika, watu wengi tukajua kumbe wamevimbiwa.
[/B
]

Mkuu Mtanzania,

Heshima mbele, ninakusikia, lakini the fact kwamba wameamua kujibu, wanahitaji heshima na wao pia kuwapa nafasi, ndio demokrasia, mimi niko radhi kuwapa hiyo benefit of the doubt, mpaka watakaposhindwa, ila ninaaamini kuwa wataenda maana ni credibility ya kampuni hapa iko at risk, na ninawafahamu Margai na Mujuluzi, sio watu wa kukurupuka.

IMMA sasa hivi wana-deal nyingi sana mpaka nje ya bongo, sidhani kuwa wanaweza kukubali kuharibiwa jina lao kwa ishu kama hii, kwa hiyo ninaaamini kuwa wako serious na ninawapa nafasi, maaana demokrasia inataka hivyo.
 
Anayeshitaki mahakamani huwa hatangazi utaona summons tu.

Mwanahalisi wameanza, IMMA wamejibu, sasa tuwasubiri mahakamani, Salim alisema hivi hivi akapuuzwa mpaka siku gazeti lilipohukumiwa kumlipa shillingi millioni 500, kwa hiyo subira wakuu!
 
Ngurudoto

Kwanza karibu sana JF.

Hapa kuna kila aina ya uchangiaji huo ambao huitwa udaku n.k. Hoja za msingi ambazo sio udaku siku zote husimama na wala haziteteleki. Angalia swala la Richimonduli kwa mfano, Buzwagi gate, BOT na mambo mengine mengi ambayo yametolewa hapa na kuleta angalau matumaini kwa hali ya walipa kodi wengi watanzania ambao maisha yao ni ya kubahatisha.

Sheria za JF haziruhusu majina ya wachangiaji kutajwa hadharani hapa lakini kama unavyojua JF ni moto wa kuotea mbali kwa MAFISADI na wale ambao sio MAFISADI ndio moto wa kuota.

Karibu sana tumkome Nyani giladi tena bila aibu.

THANK YOU KWA KUNIKARIBISHA,

TATIZO SIO MIMI, NA UWEZO WA KUJENGA HOJA UPO MKUBWA..TATIZO NI WATU WENGINE HAMJAWA MAKINI KATIKA KUTATHIMINI HABARI MNAZOPATA BILA KUJUA WANAOTOA HOJA WANA MALENGO GANI..

SABABU YA MIMI KUTOA JINA LANGU NI KUONYESHA JINSI AMBAVYO VIJANA WENGINE AU WANA JF WANAPOKUWA WASHABIKI NA KUENDELEZA UCHOCHOZI NA KUMUITA KILA MTU AIDHA FISADI AU ANAYTETEA UFISADI..

NO JAMBO FORUM SIO MOTO WA FISADI, GET IT..

ITS A FORUM.PERIOD & UFISADI IS NOT THE NEW TANZANIAN POLITICAL AGENDA...SASA HIVI UFISADI UMEKUWA NI SNOWBALL AFFECT NA NI MBINU YA WA HARIRI KUUZA MAGAZETI.. TUKOSOE LAKINI TUNAJUKUMU LA KUJENGA NCHI NA SIO KUBOMOA..

NANI ASIYEJUA KUWA WAANDISHI HAWATOI HABARI BILA KULIPWA KIDOGO DOGO? AWE WAZIRI, AWE NANI, UFISADI SASA NDIO JOURNALISTIC GOLD MINE TANZANIA & PEOPLE DARE TO THREAT OTHERS (WANA JF) KUTOA MAJINA YA WATU WANAONEKANA KUPINGA MWENENDO HUU..JF A REALITY CHECK..SASA MY NAME IS TWALIPO, NICE MEETING Y'ALL..

I LOVE MY COUNTRY KAMA NINYI, LAKINI UFISADI IMEKUWA INATUMIWA KISIASA---UNDERSTAND THAT..FUMBUKENI MACHO WATANZANIA, MIMI NI MTANGANYIKA, WENGI MUMUEZALIWA BAADA YA 1964, WATANZANIA HALISI..

SASA HIVI KUNA CORONATION YA FORMER PRIME MINISTER MR.EDWARD LOWASSA KUJISAFISHA NA WATANZANIA HAMUULIZI KWA NINI GHAFLA HUYU WAZIRI MKUU WA ZAMANI ANAPEWA PRESS NZURI (PE..HE HAS OPENNED AN ALL OUT ASSAULT ON PRESIDENT JAKAYA MRISHO KIKWETE (AMBAYE TOFAUTI NA WENGI) MIMI NINAMJUA PERSONALLY TOKA ZAMANI , NA HATA LOWASSA NAMJUA (SIJISIFII)..KWA ANAYEWAJUA HAWA MABWANA ANGEJUA KUWA TOFAUTI YA JK NA EL IS LIKE NIGHT & DAY...THE GUY NI MTU WA WATU, GENUINELY..NA LOWASSA NI SELF CENTERED (MY OPINION & OBSERVATION)OPPORTUNISTIC, ANAJIFANANANISHA NA MWINYI..

YULE MTU HAKUJIUZULU MWENYEWE, NA HATA KURA ZA CCM NEC HAZIKUTOSHA, NI ITIFAKI..HE IS VERY RICH BUT VERY UNPOPULAR NA HE WAS CREATING THE UFISADI ATMOSHPERE NA ALIAANZA KAMPENI YA URAIS AKIWA PM, ALITAKA KUWA VICE CHAIR WA CCM, HAKUPEWA AKAWA BITTER...HE WAS IN LONDON MKATABA WA BUZWAGI UKIWA SIGNED NA KARAMAGI INGAWA ALISEMA KUWA ALIKUWA LONDON SHOPPING..HE IS ONE GREEDY BASTARD..MR.PRESIDENT WANTED NO NEW MINING CONTRACT SIGNED, HE AUTHORIZED SABABU YA ARROGANCE NA KARAMAGI WENT DOWN, NA MSABAHA WENT DOWN BECAUSE OF THIS NO GOOD, NYERERE -REJECTING PRIME MINISTER WHO ONLY THOUGHT OF HIMNSELF & NO ONE ELSE BUT HIMSELF...HAYO MAGARI 500 ALIYOPOKELEWA ARUSHA NI HIS MONEY NA ANATABIA YA KUNUNUA WANA-HABARI NA HII NI MBINU ANAONA INAFAA

KOSA ALILOFANYA JK NI KUMTUMIA SAMWEL 6 KUMFUKUZA EL KAZI..SAM 6 NA LOWASSA HAWAELEWANI HATA KIDOGO SABABU WOTE WALITAKA KAZI YA U-PM BAADA YA UCHAGUZI..

SASA WANA JF, FUNGUKENI MACHO, PUNGUZENI USHABIKI, NA MTEGEMEENI BAD NEWS KUHUSU YOUR PRESIDENT KIKWETE KAMA KISASI CHA WAZIRI MKUU AMBAYE ALIZOEA KUTEMBEA NA MAGAZETI MUDA WOTE..SASA ANAENDA ISRAEL KUHIJI, WHO CARES, REALL

HE IS MAKING & PAYING TANZANIAN MEDIA TO TAINT THE GOVT, SMEAR BECAUSE HE HAS MONEY, NA RAFIKI YAKE ROSTAM ANA-CONTROL MAGAZETI FROM MTANZANIA, RAIA, RAIA MWEMA ETC.. AMBAO HAMJARUDI NYUMBANI TANZANIA MJITAHIDI MUENDE AT LEAST ONCE YEAR OR TWO YEARS, PAMEBADILIKA NA PEOPLE HAVE BECOME THAT POWER..SO DONT USE THIS FORUM KUENDELEZA RUMORS NA TABLOIDS-..UFISADI HAUKUANZA LEO, WAKATI WA NYERERE ULIKUWEPO, ILA KAMA KAWAWA NAE ANGEKUWA NA RESOURCES ZA LOWASSA, BASI NAE ANGELIPA NEWS MEDIA ZIM- SMEAR NYERER ALIPOMUONDOSHA UWAZIRI MKUU AU MSUYA PIA..

DONT BE FOOLED PEOPLE, HII FORUM SIO UFISADI TU NA SISI AMANI YETU NI KITU CHA BURE ILA MAFAHARI WAWILI WAKIGOMBANA NA MAJANI INCLUDING WANA JF KAMA AMANI ITAPOEA..THIS IS HOW UNREST START, UTAFIKIRI UNAKOMAA KISIASA KUMBE NI SIASA ZA CHUKI NA CHUKI TU..
 
]

Mkuu Mtanzania,

Heshima mbele, ninakusikia, lakini the fact kwamba wameamua kujibu, wanahitaji heshima na wao pia kuwapa nafasi, ndio demokrasia, mimi niko radhi kuwapa hiyo benefit of the doubt, mpaka watakaposhindwa, ila ninaaamini kuwa wataenda maana ni credibility ya kampuni hapa iko at risk, na ninawafahamu Margai na Mujuluzi, sio watu wa kukurupuka.

IMMA sasa hivi wana-deal nyingi sana mpaka nje ya bongo, sidhani kuwa wanaweza kukubali kuharibiwa jina lao kwa ishu kama hii, kwa hiyo ninaaamini kuwa wako serious na ninawapa nafasi, maaana demokrasia inataka hivyo.

FMES,

Sawa mkuu, wacha tuendelee kuwasubiri. Ila hata Nkono alisema hivyo hivyo na mpaka sasa kimya.

Hata kama ni kwenda mahnakamani labda watenda kama IMMMA na wala sio kwa kuhusisha na suala la Masha maana kwa Masha mambo yake mengi sana yanaweza kuanikwa.
 
TATIZO SIO MIMI, NA UWEZO WA KUJENGA HOJA UPO MKUBWA..TATIZO NI WATU WENGINE HAMJAWA MAKINI KATIKA KUTATHIMINI HABARI MNAZOPATA BILA KUJUA WANAOTOA HOJA WANA MALENGO GANI..

Mkuu Twalipo,

Heshima mbele mkuu, karibu na Salute bro!
 
MIMI NAITWA mr.KAIZA TWALIPO, LEO NI SIKU YANGU YA KWANZA KUANDIKA MESSAGE HAPA JAMBO FORUM..BAHATI MBAYA AU NZURI NIMEZALIWA TAREHE 09 MWEZI 12 MWAKA 1961,SIKU YA UHURU WA TANGANYIKA, NA NINAISHI NCHINI MAREKANI...ANWANI 2079 JUBILEE CT, COLUMBIA MD 21046...EMAIL NI TWALIPO1961@YAHOO.COM...

MY FORMAL INTRODUCTION...HIYO NA ANATASEMA NIMEPEWA HELA KUFUATA COMMON SENSE ASEME TU..USHENZI MTUPU KWA WANA JF...HIZO PESA KWANGU SIZIHITAJI...LAKINI UPUUZI WA WATU FULANI KATIKA HII FORUM HAUWEZI KUPUUZIWA UENDELEE, ...SAID KUBENA HAWEZI KUWA GODFATHER WA JF NA MEDIA TANZANIA..I LOVE THIS FORUM BUT I HAVE TO SAVE IT FROM STUPIDITY FROM A FEW JOB, INBALANCED CONTRIBUTORS FROM CHAOS & UCHOCHEZI...THE TANZANIA TABLOID IS GETTING OUT OF HAND, MAKING PESA BECAUSE RUMORS ARE NEWS, SOME UNFOUND BASELESS NA HATA MIRADI YA KAWAIDA UMEKUWA NI KASHFA...

STOP THE STUPIDITY, UCHOCHOZI WA LEO KUFANYA KUSOMA KWOTE WATANZANIA WA NJE WENGINE MNA FAMILIA ETI SOURCE YENU NI GAZETI LA MWITA GACHUMA NA SAID KUBENA, NDIO MNATAKA KULETA UCHOCHEZI WA HABARI ZINGINE ZA KISHENZI

KUSHABIKIA UFISADI NA KUENEZA RUMORS HAKUWEZI KUTUSAIDIA SISI WATANZANIA KAMA NCHI MASIKINI, SASA HATA MAKANISANI NI HILO TU NDIO ISSUE...MUACHE USHENZI NA ANATAKA AJE KWANGU KWA KUTETEA UJING ETI MTAJE JINA, HILO HAPO NA ANWANI NIMETOA FOR THAT...UTEMI WA INTERNET NAO UTEMI (ushIROMBO)...PONGEZI KWA SHY & COMMON SENSE PEOPLE LIKE FM ES & SHY, HAMUWEZI KUPATA OPINION ZINGINE. TOLERANCE IKO WAPI, USHABIKI WA KITOTO MUACHE WABONGO
so what are you implying MR..kwasababu hao wakubwa wanaendesha kampeni za kuchafuana na kusafishana sisi wananchi tusisimamie ukweli, tusiwe na haki ya kuhoji utendaji wa jk na serikali yake, vipi kama matukio yana indicate kuna foul play, na jk ni mhusika, you call that ushabiki wa kitoto, kumjua kwako jk doesnt make him a saint, mi nadhani wako ligi moja na lowasa, your calling these rumours eh, you wait and see.
 
Hivi hawa IMMMA ni wataalamu au wanabahatisha? Wanasema walikuwa na hisa moja (wawili) kwenye hiyo:-
1. Hisa zao ndio zilisababisha hao jamaa wakapata kuanzisha kampuni kupitia hao wamiliki wa IMMMA
2. Hisa hizo 2 kwa jumla zinamaanisha kuwa IMMMA ni mmojawapo ya wamiliki wa hiyo kampuni
3.Ktk hisa huwa kunaruhusiwa kuwapo kwa 'hidden shares' (mokozi wa mafisadi)
4.Hisa hizo ndio chanzo cha wizi kwani hao jamaa waliaminiwa na kupewa leseni kwani wana watz ndani yao

Ninachotaka kusema hapa huwezi kusema IMMMA haina mkono humo,inao mkubwa sna tena ndio mmliki mkuu wa hiyo Deep, mie sidhani hao jamaa Ishengoma na mwenzake wana cha kujitetea.......Ukishikwa na ngozi ndiye uliyekula nyama hata kama hukula ngozi umeitoa wapi wakati hufugi?? Nani ataamini maneno yao kuwa hawakupewa kitu.....Mujuluzi-JK anachemsha sana, this USHIKAJI utaisha lini jamani,mtu kisa amempa kazi mwanao basi unampa cheo,kuna wanasheria wangapi chini ya Mwanyika wanaofaa na wenye uzoefu!! LAzima tukuhukumu 2010 hata kama utaiba kura....Mtoto wako atakuponza kama Fred alivyomponza baba yake. Kila siku maisha yanapanda huoni ila ni kuhakikisha washikaji zako wanapata maisha bora.........Hujatusaidia kitu kwa kuwakumbatia kina Masha (hata kujielezea huwa hawezi). Badilika!!!
 
toleola17.jpg

Ni mojawapo ya maswali ambayo yanahitaji kuulizwa na maswali ambayo yanahitaji majibu. Inakuwaje mtu ambaye kampuni yake yawezekana kuwa imenufaika kwa kupokea fedha za wizi (kinyume na sheria ya Proceeds of Crime) akateuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani? Endapo uchunguzi wa Deep Green itabidi uanzishwe je Waziri Masha ataweza kuwa huru kusimamia Polisi?

Je kampuni yake iko tayari kurudisha fedha ilizopokea toka Deep Green Finance na kuvunja mahusiano yoyote yale na kuwaomba radhi Watanzania kwa jambo hilo? Tunampa siku saba za kuliambia Taifa ni jinsi gani alinufaika (kama Wakili wa IMMMA) na malipo au mahusiano ya kampuni hiyo na Deep Green Finance. Na anaweza kuliambia Taifa Deep Green ni kina nani hasa?
 
Attachments

  • TOLEOJIPYA17.pdf
    428.1 KB · Views: 264
Last edited by a moderator:
La hasha !!!!!!!!!!!!!l
hilo liko wazi kaka yangu!!!kama yeye nae alikuwa na share kwenye hiyo kampuni
laziima amekula hela ya epa na anaitajika kuwajibika akiwa kama kiongozi anaeongoza
usalama wa watanzania!!!ila uwezi jua labda alirudisha hii serikali ni ya matapeli awachelewi kukwambia zilisharudishwa
 
Hivi hakuna mwandishi mwenye uwezo wa kumhoji haya? Mwanakijiji hujawahi kuongea nae? Hili halina ubishi kuwa alikula but i would like to know kama anafahamu hii kampuni ya Kijani Kibichi. Kama anafahamu basi atupe maoni yake.
 
Kiongozi Mwanakijiji;

Huenda akawa ni mtu asiyependa kufuata utaratibu

Alikacha kupitia JKT

Aliingia UDSM kinyume na kigezo cha kupitia JKT

Unategemea nini? Tabia ya mtu haifichiki kwa muda mrefu.

Inapokuja suala la Opportunity na Maslahi ya taifa, chaguo liko wazi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom