Wakili Masha alinufaikaje na Deep Green Finance?

Huu unafiki inabidi mishipa yote iwe na ganzi ...bora tu hao CCM watawale hadi kitapokuja kizazi serious kuleta mabadiliko ya kweli ...upinzani Bongo pasua kichwa tu ...
Sauli aliwaua wafuasi wa Yesu, na ndiye alikuja kuwa kiongozi wa mapambano kuutetea ukristo nadhani kuliko mtu mwingine yeyote kwenye historia ya ukristo.

Vivyo hivyo kwa Said na Omary.
Mbabe aliyewaua walioikubali dini ya kiislam.
Lakini ndiye akajakuwa mueneza dini mkuu wa dini ya kiislam.

Nyie msiotaka kutubu na kujutia dhambi zenu na kujiunga na kambi tukufu.
 
Wanafiki katika ubora wao!nilikuwaga nawaamini hawa miaka hii....dah,kumbe nilikua napote mbaya!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom