Wakili Madeleka: Rais Samia alitoa mamlaka mkataba wa bandari kusainiwa kwa niaba ya Dubai wakati yeye ni Rais wa Tanzania pekee

Madeleka akisoma sehemu ya kipande cha mkataba uliosaniwa Rais Samia, ambapo kipande hicho kinasema Rais Samia ametoa mamlaka yake kwa Mbarawa kusaini mkataba kwa niaba ya Tanzania na Dudai wakati Samia sio Rais wa Dubai, na kwamba Rais Samia kasahau kwamba mamlaka yake ni kwenye mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pekee na sio Dubai.

View attachment 2685670
Rais anajali maslahi ya dubai kuliko Tanzania.
 
Madeleka akisoma sehemu ya kipande cha mkataba uliosaniwa Rais Samia, ambapo kipande hicho kinasema Rais Samia ametoa mamlaka yake kwa Mbarawa kusaini mkataba kwa niaba ya Tanzania na Dudai wakati Samia sio Rais wa Dubai, na kwamba Rais Samia kasahau kwamba mamlaka yake ni kwenye mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pekee na sio Dubai.

View attachment 2685670
Inavyosomeka: Mbarawa kapewa mamlaka na Rais asaini kwa niaba ya Tanzania na Dubai.

Ilivyotakiwa isomeke: Mbarawa atasaini kwa niaba ya Rais mkataba kati ya Tanzania na Dubai.

Inavyoonekana, hiyo instrument imeandikwa na Mbarawa mwenyewe na inakisi kiingereza chake kidogo kidogo cha kuombea maji ya kunywa
 
Huu mkataba umekaa kimagumashi. Jamani kwanini hawa DP World wasije wenyewe wakajitetea badala yake wameiachia serekali ya Samia iwatetee?

Kwanini CCM na serikali wamejigeuza kuwa wasemaji wa DP World?
Huu ni mradi wa watanzania wenzetu DP world wameambiwa wenyewe watulie tuu. Ndio maana unaona kuna wachache wenye maslahi nao wanaupigania
 
Madeleka akisoma sehemu ya kipande cha mkataba uliosaniwa Rais Samia, ambapo kipande hicho kinasema Rais Samia ametoa mamlaka yake kwa Mbarawa kusaini mkataba kwa niaba ya Tanzania na Dudai wakati Samia sio Rais wa Dubai, na kwamba Rais Samia kasahau kwamba mamlaka yake ni kwenye mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pekee na sio Dubai.

View attachment 2685670
Khaaa! Siku Iona hii. Ndiyo maana mwanzoni sakata Lina ibuka nilisema Kuna kujitapeli ama kutapeliwa Nilionekana Chizi
 
Madeleka akisoma sehemu ya kipande cha mkataba uliosaniwa Rais Samia, ambapo kipande hicho kinasema Rais Samia ametoa mamlaka yake kwa Mbarawa kusaini mkataba kwa niaba ya Tanzania na Dudai wakati Samia sio Rais wa Dubai, na kwamba Rais Samia kasahau kwamba mamlaka yake ni kwenye mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pekee na sio Dubai.

View attachment 2685670
sijui nimeelewa au hiki ni kiswahili cha kisasa ok ngoja kwanza niulize huyu mbalawa ni mdubai au mtanzania? Na hiyo tanzania ipo dubai au tanzania? Maana mwenzio nimeelewa hivi mshana jr amepewa mamlaka ya kusaini mkataba na maxmelo au kwa niaba sasa ukija kuangalia hawa wote ni wa jamiiforums, mkuu naomba kueleweshwa maelezo yako sijaelewa ila anza kujibu hayo maswali asante
 
Madeleka akisoma sehemu ya kipande cha mkataba uliosaniwa Rais Samia, ambapo kipande hicho kinasema Rais Samia ametoa mamlaka yake kwa Mbarawa kusaini mkataba kwa niaba ya Tanzania na Dudai wakati Samia sio Rais wa Dubai, na kwamba Rais Samia kasahau kwamba mamlaka yake ni kwenye mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pekee na sio Dubai.

View attachment 2685670
Raisi WA HOVYO kabisa
 
Msimseme Sana
Kumbukeni ni mke wa mtu pia anaweza akawa alisaini akiwaza ugomvi uliopo namumewe

Akopoteza umakini
Acheni haya maneno yasiyo na heshima wala busara. Uhuru wa maoni usitumike vibaya. Ni ushauri tu wala si amri.🙏🙏🙏
 
Madeleka akisoma sehemu ya kipande cha mkataba uliosaniwa Rais Samia, ambapo kipande hicho kinasema Rais Samia ametoa mamlaka yake kwa Mbarawa kusaini mkataba kwa niaba ya Tanzania na Dudai wakati Samia sio Rais wa Dubai, na kwamba Rais Samia kasahau kwamba mamlaka yake ni kwenye mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pekee na sio Dubai.

Sent using Jamii Forums mobile app

Nimeelewa
 
Back
Top Bottom