Coaster2015
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 2,594
- 2,717
Wa hivyo wako wengi sana kwenye hayo mahakama yao, ile serikali ya yule mwenda zake ndio ilikuwa kazi yake, walimbambika kesi kabendera wakamlazimisha alipe million 100 ili wamwachie, walikuwa wanatafuta hela kwa nguvu ili kujengea hayo mamiradi ambayo jana tumeambiwa na serikali kwamba yanaendeshwa kwa mikopo mikubwa ambayo kuilipa ni kazi sana, yaani unamshikilia mtu mahabusu halafu unakuja kuibuka kutoka porini unasema hamna nia ya kuendelea na kesi, wakati mnamshika hamkujua kwamba hamna nia na makesi yenu hayo ??Hii nchi ina mambo mengi sana, unamuweka mtu ndani muda wote huo bila dhamana na huna uthibitisho wa makosa yake, hii ni zaidi ya ukatili, atlist hata wangemuacha nje kwa dhamana wakati uchunguzi unaendelea
Wamempotezea muda, malengo, wameyumbisha familia yake, wamesimamisha mambo yake mengi, bad enough wamemkamata na mke wake pia