Wakenya wavamia Tanzania

Wakenya wavamia Tanzania

watanzania wako busy na masuala ya msingi,wakenya kila siku ni kujadili negative effect.watz tuko mob hapa kenya wala hamuwez kutuua mkatumaliza na wakenya wako mob tanzania hakuna atakae waua akawamaliza,intermarriage nayo ni kubwa sana, imagine nachapa dada zenu, present wenu mzazi willy mtuva kila siku yupo bongo kuangalia family yake

falcon,
funguka vizuri kuhusu will mtuva,hivi ni mbongo?.maana dah jamaa kile kiswahili chake kipo poa sana huwezi kukitofautisha na kiswahili cha radio presenters wa bongo.kuna mtu aliniambia ana asili ya tanga.sina uhakika lakini.
 
Kwamba sisi wakenya ni watu wa maringo mingi ni perception tu. Siyo ukweli.
Pengine mnatuchukulia hivo kwasababu huwa hatutumii sana hizo maneno za nidhamu kama: tafadhali, naomba,samahani,nakusihi nk, kama nyinyi wabongo.
Lakini hakumanishi tuko rude.

Kweli mimi nikikupata wewe Motochini umezirai barabarani, ninaweza kataa kukusaidia? Sisi pia binadamu na tunapenda kutreat other pipo the way we would wish to be treated.

Ila mkuu ukiwa makini kusoma na kuelewa lengo la mleta mada ni lawama ya wakenya kuingia isivyo halali na si lingine,labda kwavile tu ametumia heading tofauti.
 
Mnaishi kimajungu majungu na kila mtu, mara Malawi, mara Mnyarwanda, mara Mkenya n.k. Hadi Wazanzibar wana mashaka na nyie. Mshazoea kudanganywa majirani zenu ndio sababu ya kutoendelea kwenu na mkaingia. Haya anzisheni basi tuone mtaishia wapi. Wasouth ndugu zenu wamewaanzishia njia.
hizo nchi ulizo taja hapo,tz ndio kimbilio lao kunapotokea na matatizo kwao.wakenya wengi walihifadhiwa arusha na familia zao mlipochinjana mwaka 2007-8,wanyarwanda ndio sisemi,wengi wameloea tz mpaka leo baada ya yale mauaji ya kimbari,wamalawi wapo hapa tunaishi nao kama ndg.
 
Wewe akili mgando kweli....kenya unaifahamu vizuri kweli???
Ni bora ukataliwe waziwazi kuliko wanavyofanya hawa jamaa...yaani unazibwa pumzi na unakufa kimyakimya...
#KilaMtuKwo ....

Nashindwa kuelewa unachotaka kusema ni nini hapo labda kwa kuwa akili yangu ni mgando kama ulivyosema lakini chuki kwa majirani zetu hatusaidii hata kidogo!!!!

Tiba
 
Chuki iko wapı,wamenyimwa vısa?Wafuate taratibu, acha kutetea ujinga,nyambafu zako.Mbona walikuwa wanazuia magari yetu kinyume na taratibu?Sikupendi weweee?
 
Uwa napenda sana kutukanwa kama ulivyofanya wewe, asante. Na hao Watanzania waliojaa kwenye soko la Gikomba Nairobi nao wafurushwe sio? Naogopa kutukana bure hapa.

Tiba
 
Sio muda mrefu na sisi tutaanza kuwacharanga kama huko SA, wamejaa sana maeneo ya mikocheni, mbezi beach na tegeta. Alafu jamaa wanajichukilia babu kubwa sana wakati ni masikini wakutupwa, kuna siku tulikua tunapiga bia mtaani kwenye duka la mangi wakawa wanatusnitch kwa kikikuyu, tulichowafanya hadi leo huwa hawanywei tena pale mtaani.
Bwahahaaa bwahahaaaaaa bwahaahaaaaa........!!!!!
 
Mnaishi kimajungu majungu na kila mtu, mara Malawi, mara Mnyarwanda, mara Mkenya n.k. Hadi Wazanzibar wana mashaka na nyie. Mshazoea kudanganywa majirani zenu ndio sababu ya kutoendelea kwenu na mkaingia. Haya anzisheni basi tuone mtaishia wapi. Wasouth ndugu zenu wamewaanzishia njia.

Shida yenu wakenya ni roho mbaya dharau na majivuno.. Wakongo wamejaa dsm hii hakuna anaewaasumbua, warundi wazambia wamalawi tunaishi nao kama ndugu zetu na tunawakubali sana. Nyinyi wajuaji mnatuletea mambo yenu mnayofanyiana huko wajaluo vs wakikuyu mnatuletea huku hatupendi sisi hatujazoea hizo mambo.

WaTz hatupendi dharau zenu na kujiona huku mpo mpo tu hamna swaga.

Tunawakaribisha vizuri mkishazoea mnaanza kuleta dharau. Mama Lwakatare hana amu na nyinyi mliwapiga majungu WaTz kwenye shule zake wakakimbia wakawaachia shule mbaki wenyewe matokeo shule zimekufa sasa anaanza upya. Pumbaff sana na mmeanza kuwafundisha huu ujinga wanyarwanda na waganda watu tulioishi nao vizuri nao wameanza kuwa kama wakenya.
 
Hahahaaa matumbo bwana? Naona umemchana jamaa kisawasawa!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu tpaul sio kwenda Kenya tu.. Nimeshafanya biashara sana kule na usumbufu pekee (ambao hata hapa upo) ni polisi kupenda rushwa kupita maelezo.. Nimeshaenda Kenya mara nyingi na washirika wangu bila ya kuwa na pasi ya kusafiria na sikuwahi kukamatwa (wala wenzangu) ati kwanini tunaingia bila ya hati yeyote.. Na kuna wabongo wengi wameishia kule na wanaishi.. Usumbufu ambao wewe unausema ni wa kawaida ambao hata hapa upo.. Lakini hau-justify hii hatred inayoandikwa hapa na watu ambao wanaongea from hearsay information..

shukran mkuu kwa kuwa mkweli, huwa nashangaa kwenye hii site watu wanaongea nikama Mtanzania akiingia Kenya watu wanachukia na wanapanga kumfanyia visivyo, nashangazwa kila siku na comments kutoka kwenye watu wengi humu. Kenya tumezoea kuishi na wakimbizi na watu tofauti kutoka nchi nyingi sana, wakenya wanapenda wageni. tusiwe watu wa kulalama kila siku, kuna nafasi nyingi pande zote duniani, ukipata nafasi Kenya, zamia kule ufanye biashara ama kazi yako halali, hakuna atayekusumbua. watu wanapenda kueneza chuki hapa, and its so wrong.
 
Sio muda mrefu na sisi tutaanza kuwacharanga kama huko SA, wamejaa sana maeneo ya mikocheni, mbezi beach na tegeta. Alafu jamaa wanajichukilia babu kubwa sana wakati ni masikini wakutupwa, kuna siku tulikua tunapiga bia mtaani kwenye duka la mangi wakawa wanatusnitch kwa kikikuyu, tulichowafanya hadi leo huwa hawanywei tena pale mtaani.

Mwanangu awa jamaa mi mwenyewe siwakubali kabisa, yani wakianza majigambo yao utadhani wametoka nchi iliyoendelea kama South vile au Thai.. Wakati kwao kibera huko wanalala kwenye mabanda kazi kupiga tai tu shingoni, ata chakula tu ni shida kuna mkenya nilikuwa namkaribisha home kipindi hiko awe anakula mpk atakapopata mshahara coz alipanga jirani alikuwa ndio ametoka kwao mkikuyu ndio ameanza kazi alikuwa ananiona kama nabii wakati vitu vya kawaida.. Alipozoea mji akaanza kuona kila mtz mavi huko kazini naambiwa kila mtz kwake hajui kazi anashauri boss apunguze wafanyakaz wabongo hawakumkawiza wakamuundia zengwe feki wakamchoma kwa wazee pamoja na permit yake alitimuliwa kwao, watu wanakupokea vizuri kwao alafu wewe unataka kuwaaribia maisha hizi roho gani sijui wanazo.
 
Hahahaaa matumbo bwana? Naona umemchana jamaa kisawasawa!

Hahahahahah awa jamaa wana mambo ya ajabu alafu nachoshangaaga wenyewe wanajiona wako OK tu, kwa kweli watu tumetofautiana sana.

Kuna siku watatulazimisha tufanye vitu ambavyo sio hulka zetu kabisa sababu tutachoka. South ilikuwa hivi hivi wageni wanaingia alafu wanadharu waliowakaribisha eti wavivu hauwajui kazi hawakusoma nk, huko South mtz haguswi sababu anajua kuishi na watu hii mikenya na minaijeria ndio kila inapofika dharau utadhani kwao kumeendelea.
 
Last edited by a moderator:
Ipo siku hayo yanayotokea RSA yatatokea JMT... wa-Kenya wanapokuja JMT wanajihisi wao ni "daraja la juu" sana!!! Nadhani hii ndiyo iliyowagharimu wageni kule RSA!!!
 
Acheni ubaguzi! Wakenya kuja wala sio shida na hata wasibugudhiwe! Mbona wapo kibao na wanafanya kazia mofisini, kwenye mabank, nk leo wanaokwenda kutafuta mkate kijijini loliondo mnapiga kelele? Kama kuzuia anzeni na hao wakubwa wa maofsini otherwise acheni tuu wafanye kazi watafute mkate wao mradi tu waishi kwa amani na itulivu!
 
Shida yenu wakenya ni roho mbaya dharau na majivuno.. Wakongo wamejaa dsm hii hakuna anaewaasumbua, warundi wazambia wamalawi tunaishi nao kama ndugu zetu na tunawakubali sana. Nyinyi wajuaji mnatuletea mambo yenu mnayofanyiana huko wajaluo vs wakikuyu mnatuletea huku hatupendi sisi hatujazoea hizo mambo.

WaTz hatupendi dharau zenu na kujiona huku mpo mpo tu hamna swaga.

Tunawakaribisha vizuri mkishazoea mnaanza kuleta dharau. Mama Lwakatare hana amu na nyinyi mliwapiga majungu WaTz kwenye shule zake wakakimbia wakawaachia shule mbaki wenyewe matokeo shule zimekufa sasa anaanza upya. Pumbaff sana na mmeanza kuwafundisha huu ujinga wanyarwanda na waganda watu tulioishi nao vizuri nao wameanza kuwa kama wakenya.

Wanyarwanda na Wamwalawi wagani mliishi nao vizuri, kwanza ule unyama mliowafanyia majirani zenu wote kwa kuwapakia kwenye malori na kuwanyang'anya kila kitu. Mtu amehangaika kufanya kazi kwa bidii yake halafu kwa wivu unamhangaisha na kuchukua kila kitu chake hadi bata. Halafu kwa majungu mkawapakia hadi Watanzania wenu kwa kuwapandikizia eti ni wageni.

Mfahamu mimi Mkenya na nina Ukenya na haitatokea siku nibadilishe Ukenya wangu ndio nimfurahishe Mtanzania. Tunafahamika kwa kuwa wagomvi na wenye bidii, halafu tunapenda misifa.... ndivyo tulivyo na tumeishi miaka na miaka hivyo. Usitegemee kutubadilisha na wala sitegemei kumbadilisha Mtanzania. Akija kwetu pamoja na alivyo, ninampokea na kushi naye hivyo. Nilipoingia Tanzania mara za kwanza kwanza kufanya miradi, niliwakuta na tabia zilizonikera sana haswa kutozingatia muda na masaa, na vijisababu vingi, nilitegemea kuwabadilisha lakini nikawaelewa ndio huo mfumo wao. Ikabidi mimi ndio nilegee na kuendana nao walivyo. Hivyo huwezi ng'eng'ania kumbadilisha mtu.
 
Hahahahahah awa jamaa wana mambo ya ajabu alafu nachoshangaaga wenyewe wanajiona wako OK tu, kwa kweli watu tumetofautiana sana.

Kuna siku watatulazimisha tufanye vitu ambavyo sio hulka zetu kabisa sababu tutachoka. South ilikuwa hivi hivi wageni wanaingia alafu wanadharu waliowakaribisha eti wavivu hauwajui kazi hawakusoma nk, huko South mtz haguswi sababu anajua kuishi na watu hii mikenya na minaijeria ndio kila inapofika dharau utadhani kwao kumeendelea.

Hahahaaa,naona umenunua vita leo utakoma.Usiondoke tu unikatishe uhondo maana na wewe hukawii kukimbia.
 
Mwanza kuna wakenya wengi kuliko wasukuma hadi najiuliza hao imagration kazi yao nini?
 
Watanzania acheni chuki za kijinga kwan ni watanzania wangapi wamekodi mashamba huko Kenya kwaajili ya kilimo cha umwangiliaji na tena wanaishi kama wapo kwao! punguzeni majungu

Yaani Mtz aache ardhi nzuri Tanzania akakodi jangwa kwenda kufanyia kilimo😱
 
Wanyarwanda na Wamwalawi wagani mliishi nao vizuri, kwanza ule unyama mliowafanyia majirani zenu wote kwa kuwapakia kwenye malori na kuwanyang'anya kila kitu. Mtu amehangaika kufanya kazi kwa bidii yake halafu kwa wivu unamhangaisha na kuchukua kila kitu chake hadi bata. Halafu kwa majungu mkawapakia hadi Watanzania wenu kwa kuwapandikizia eti ni wageni.

Mfahamu mimi Mkenya na nina Ukenya na haitatokea siku nibadilishe Ukenya wangu ndio nimfurahishe Mtanzania. Tunafahamika kwa kuwa wagomvi na wenye bidii, halafu tunapenda misifa.... ndivyo tulivyo na tumeishi miaka na miaka hivyo. Usitegemee kutubadilisha na wala sitegemei kumbadilisha Mtanzania. Akija kwetu pamoja na alivyo, ninampokea na kushi naye hivyo. Nilipoingia Tanzania mara za kwanza kwanza kufanya miradi, niliwakuta na tabia zilizonikera sana haswa kutozingatia muda na masaa, na vijisababu vingi, nilitegemea kuwabadilisha lakini nikawaelewa ndio huo mfumo wao. Ikabidi mimi ndio nilegee na kuendana nao walivyo. Hivyo huwezi ng'eng'ania kumbadilisha mtu.

Sisi tumeishi na wanyarwanda miaka na miaka hatujawai kugombana nao mpaka rais wao alipoanza kuleta dharau, mtu ukimnyamazia alafu akataka kukupanda kichwani lazima umwonyeshe kuwa unamstai ila unaweza kumfanya lolote ukitaka. Pamoja na hayo hatuna ugomvi kabisa na awa raia wa Rwanda.

Kuhusu tabia zenu mbovu ulizozitaja hatuna tatizo nazo. Tatizo linakuja mnapoanza kutuletea sisi waTz, uwezi kuniletea dharau alafu ukasema ndio tabia zako au unakuta watu wanaishi maisha yao wewe unakuja kuvuruga utaratibu. Umemkuta mtu anafanya kazi sehemu miaka na miaka wewe ukiingia unaanza zako hafai hakusoma hajui lugha unategemea mwenyeji akupende? Na unamwalibia maisha yeye na familia yake?

Wewe ingia bongo fanya mambo yako kama wengine ukimaliza ondoka uone kama kuna mtu atakusumbua au atakuchukia . sasa wewe mkenya ukiingia barbershop unataka utawale ukikaa pub unataka utawale ofisini unataka utawale kila unapogusa hapafai na wenyeji hawafai ila wewe ndio perfect pumbaff zenu rudini kwenu kuzuri basi.

Hatuwachukii ila mnalazimisha tuwachuie kwa ujuaji wenu.
 
Back
Top Bottom