Wakenya wavamia Tanzania

Wakenya wavamia Tanzania

Yaani unga umeingia mchanga, limeanzishwa kule South na linaenea sasa. Wakenya tunaopiga deals EAC na haswa Bongo tukae mkao wa kuondoka wakati wowote, magazeti yao yameanza kukinukisha. Halafu yao itakua Kenyaphobia sio xenophobia maana wana majungu na Wakenya tu, hawajali kuhusu Wahindi wala Wachina wanaowanyanyasa kila uchao.
Naomba sana Kenya tusiingie chuki za aina hii, Wabongo wote waliopo Kenya kwa maelfu waishi kwa amani siku zote.

attachment.php

PressTZ .::. Wakenya wavamia tanzania

https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/839300-wakenya-wavamia-tanzania.html

hivi hawa CCM wanaipeleka wapi hii nchi? wako tayari kuuza utaifa wetu ili wapate madaraka. hawa watu ni wa kuogopwa kama ukoma.
 
Last edited by a moderator:
wiseboy huwa nakuheshimu sana, hakuna haja ya kuja kudanganya watu hapa, ukiwa na passport tu, unaruhusiwa kununua laini ya simu, mbona unataka kusema kuwa lazima uwe na cheti cha taifa? Mbona tunaeneza chuki baina yetu? ukiingia Kenya wabongo wengi tu na hawa baguliwi, soko la Gikomba ni la watanzania na hata siku moja hautaskia wakenya wakisema watanzania wamechukua soko lao. Sisi ni majirani, wengine wetu tuna familia pande zote mbili, lakini sielewi jinsi watu wanavyojaribu kuonyesha kuwa Kenya ni adui wa Tanzania, tusifunze watoto wetu haya, wacha watu waungane tujenge nchi dhabiti tuwache huu upuzi wakutaka kufukuza wahamiaji.

*************
mkuu umenielewa vibaya, nimetumia lugha ya tamthilia....naona wengi hawakuelewa na wengine km kawaida yao huko walikolelewa kutukana wameishatukana.
lengo langu nilitaka kusema tupunguze kulalama na kuwa sirius na mambo mkuu.
Gikomba, kangeni, kariakoo ya kenya yes wabongo wengi na mambo yanaenda.
cha msingi tuwe sirius na mambo.
 
mkuu sosoliso acha kutetea jambo usilolijua. hivi ulishawahi kwenda kenya ushuhudie jinsi wanavyobagua na kuwasumbua wageni?
 
Last edited by a moderator:
mkuu sosoliso acha kutetea jambo usilolijua. hivi ulishawahi kwenda kenya ushuhudie jinsi wanavyobagua na kuwasumbua wageni?

Ulifika sehemu gani Kenya ukaona watu wanabaguliwa? Kuwa mkweli, sema tu ukweli wa Mungu.
Watanzania kweli hubaguliwa Kenya?
 
Last edited by a moderator:
mkuu sosoliso acha kutetea jambo usilolijua. hivi ulishawahi kwenda kenya ushuhudie jinsi wanavyobagua na kuwasumbua wageni?

Mkuu tpaul sio kwenda Kenya tu.. Nimeshafanya biashara sana kule na usumbufu pekee (ambao hata hapa upo) ni polisi kupenda rushwa kupita maelezo.. Nimeshaenda Kenya mara nyingi na washirika wangu bila ya kuwa na pasi ya kusafiria na sikuwahi kukamatwa (wala wenzangu) ati kwanini tunaingia bila ya hati yeyote.. Na kuna wabongo wengi wameishia kule na wanaishi.. Usumbufu ambao wewe unausema ni wa kawaida ambao hata hapa upo.. Lakini hau-justify hii hatred inayoandikwa hapa na watu ambao wanaongea from hearsay information..
 
Last edited by a moderator:
nimefika kenya kununua tu line ya simu nipunguze gharama ya makato ya mtandao wa bongo kutumika kenya,
ikashindikana, lazima uwe na cheti cha taifa.

nilichoka wakat hapa kwetu unauziwa baani na unasajili kwa kuchagua mwenyewe user name.
ww ni me bt unamwambia muuzaji sajili kwa maria na unasajiliwa.
bongo no criusness
mkuu looks like you are everywhere, maana thread nyingine ulipost kuhusiana na mambo yanayoendelea huko south afrika, ukasema source ni wewe. tuamini lipi mkuu.
 
mkuu looks like you are everywhere, maana thread nyingine ulipost kuhusiana na mambo yanayoendelea huko south afrika, ukasema source ni wewe. tuamini lipi mkuu.
Kwelly! wiseboy not so wise, si ulisema uko Port Elizabeth hivi sasa, ukashuhudia machafuko mle?
 
Last edited by a moderator:
nimefika kenya kununua tu line ya simu nipunguze gharama ya makato ya mtandao wa bongo kutumika kenya,
ikashindikana, lazima uwe na cheti cha taifa.

nilichoka wakat hapa kwetu unauziwa baani na unasajili kwa kuchagua mwenyewe user name.
ww ni me bt unamwambia muuzaji sajili kwa maria na unasajiliwa.
bongo no criusness

Ni sheeda nduguyangu bora tubaki kwetu tu
 
mpango mwingne wa serikali kuhamisha watu serengeti ili wauze maeneo kwa falme za kiarabu.

pole tz.
 
Sio muda mrefu na sisi tutaanza kuwacharanga kama huko SA, wamejaa sana maeneo ya mikocheni, mbezi beach na tegeta. Alafu jamaa wanajichukilia babu kubwa sana wakati ni masikini wakutupwa, kuna siku tulikua tunapiga bia mtaani kwenye duka la mangi wakawa wanatusnitch kwa kikikuyu, tulichowafanya hadi leo huwa hawanywei tena pale mtaani.

Wewe ndiye uliyefanya vizuri kila mmoja angefanya vile ungakuta wote washarejea kamukunji Republic, hawa watu wanajiona sana na wana wivu sana
 
wiseboy huwa nakuheshimu sana, hakuna haja ya kuja kudanganya watu hapa, ukiwa na passport tu, unaruhusiwa kununua laini ya simu, mbona unataka kusema kuwa lazima uwe na cheti cha taifa? Mbona tunaeneza chuki baina yetu? ukiingia Kenya wabongo wengi tu na hawa baguliwi, soko la Gikomba ni la watanzania na hata siku moja hautaskia wakenya wakisema watanzania wamechukua soko lao. Sisi ni majirani, wengine wetu tuna familia pande zote mbili, lakini sielewi jinsi watu wanavyojaribu kuonyesha kuwa Kenya ni adui wa Tanzania, tusifunze watoto wetu haya, wacha watu waungane tujenge nchi dhabiti tuwache huu upuzi wakutaka kufukuza wahamiaji.

Huwezi unganisha watu ambao hawaendani, labda Wakenya wakubali kwanza kufanyia kazi tabia zao za kujivuna na kujiona wanajua kila kitu
 
Kama wapo kinyume cha sheria watimuliwe haraka iwezekanavyo.hata Kama Ni majirani Kuna utaratibu wa kuingia nyumbani kwa mtu.
 
Wahamiaji haramu wwapo wengi maeneno ya mipakani so comprehensive plan is needed to deal with it
 
Jambo lolote huwa kunakuwa na pa kuanzia, kwenye hili wakenya ndio wakuanza nao
Ila wa Kenya wana roho mbaya sana aisee.
wanayotufanyia hapa kwetu ni machungu.
na huko kwao huwa wanatuua kabisa.
Somalia inavyowatia adabu ni sahihi.
 
nimefika kenya kununua tu line ya simu nipunguze gharama ya makato ya mtandao wa bongo kutumika kenya,
ikashindikana, lazima uwe na cheti cha taifa.

nilichoka wakat hapa kwetu unauziwa baani na unasajili kwa kuchagua mwenyewe user name.
ww ni me bt unamwambia muuzaji sajili kwa maria na unasajiliwa.
bongo no criusness

acha uongo ndg,unalozungumza hapo halina ukweli.
yaelekea hukuwa na valid document ambayo ingewezesha particulars zitumike kusajili line ya simu ya kenya.
mimi ninamiliki line ya kenya kwa kupitia mtandao wa safaricom.niliisajili kwa kupitia passpot yangu ya tz,line hiyo ninayo mpaka leo.
CC MK254
 
Last edited by a moderator:
Yaani unga umeingia mchanga, limeanzishwa kule South na linaenea sasa. Wakenya tunaopiga deals EAC na haswa Bongo tukae mkao wa kuondoka wakati wowote, magazeti yao yameanza kukinukisha. Halafu yao itakua Kenyaphobia sio xenophobia maana wana majungu na Wakenya tu, hawajali kuhusu Wahindi wala Wachina wanaowanyanyasa kila uchao.
Naomba sana Kenya tusiingie chuki za aina hii, Wabongo wote waliopo Kenya kwa maelfu waishi kwa amani siku zote.

attachment.php

http://www.presstz.net/details/wakenya-wavamia-tanzania-177737.html

https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/839300-wakenya-wavamia-tanzania.html

Hao wanaolalamika wanalalamikia issue ya kuingia isivyo halali na si kwamba tunawachukia wakenya,jaribu kuelewa.
 
Back
Top Bottom