wabongo bado wamelala... mtu anaingia nchini anapewa na uanachama wa kisiasa..!!
Nasikia pia Wapo wakenya wana clinic zao mahotelini kama kibodya. wanatibu na kutoa dawa bila risiti
wabongo bado wamelala... mtu anaingia nchini anapewa na uanachama wa kisiasa..!!
Hahahaaa,naona umenunua vita leo utakoma.Usiondoke tu unikatishe uhondo maana na wewe hukawii kukimbia.
Hehe siwezi kumkimbia mkenya ata siku moja nawajua in and out nimeishi nao pua na mdomo, na nimewasaidia sana japo hawana shukrani na wana dharau.
Kwanza hawapendani wenyewe kwa wenyewe ata huku ugenini. Alafu mie nafanya mishe zangu kivyangu ikitokea mkenya kanifata mpaka kwenye deal zangu hakuna rangi ataacha kuona lazima akaadithie kwao kitachomtokea , awa ni wasumbufu maofisini huko.
Nasikia pia Wapo wakenya wana clinic zao mahotelini kama kibodya. wanatibu na kutoa dawa bila risiti
Hehe siwezi kumkimbia mkenya ata siku moja nawajua in and out nimeishi nao pua na mdomo, na nimewasaidia sana japo hawana shukrani na wana dharau.
Kwanza hawapendani wenyewe kwa wenyewe ata huku ugenini. Alafu mie nafanya mishe zangu kivyangu ikitokea mkenya kanifata mpaka kwenye deal zangu hakuna rangi ataacha kuona lazima akaadithie kwao kitachomtokea , awa ni wasumbufu maofisini huko.
Wee jamaa pengine hapo ulipo hujavaa chupi! weka jina la hyo hospital hapa wanaotoa matibabu bila kutoa risiti na wew kama wew umechukua hatua gani? na hayo mahotel wanayo miliki hawalipi kodi TRA?
wakenya, wamalawi na wao wananyang'anya kazi za wazawa.
wapigwe...
wapigwe tu.
Sisi tumeishi na wanyarwanda miaka na miaka hatujawai kugombana nao mpaka rais wao alipoanza kuleta dharau, mtu ukimnyamazia alafu akataka kukupanda kichwani lazima umwonyeshe kuwa unamstai ila unaweza kumfanya lolote ukitaka. Pamoja na hayo hatuna ugomvi kabisa na awa raia wa Rwanda.
Kuhusu tabia zenu mbovu ulizozitaja hatuna tatizo nazo. Tatizo linakuja mnapoanza kutuletea sisi waTz, uwezi kuniletea dharau alafu ukasema ndio tabia zako au unakuta watu wanaishi maisha yao wewe unakuja kuvuruga utaratibu. Umemkuta mtu anafanya kazi sehemu miaka na miaka wewe ukiingia unaanza zako hafai hakusoma hajui lugha unategemea mwenyeji akupende? Na unamwalibia maisha yeye na familia yake?
Wewe ingia bongo fanya mambo yako kama wengine ukimaliza ondoka uone kama kuna mtu atakusumbua au atakuchukia . sasa wewe mkenya ukiingia barbershop unataka utawale ukikaa pub unataka utawale ofisini unataka utawale kila unapogusa hapafai na wenyeji hawafai ila wewe ndio perfect pumbaff zenu rudini kwenu kuzuri basi.
Hatuwachukii ila mnalazimisha tuwachuie kwa ujuaji wenu.
Nimekuambia umeze au uteme, huwezi badilisha Mkenya na siwezi kumbadilisha Mtanzania, kuna vitu vingi huwa mnanikera na kuniudhi lakini ndivyo mlivyo na siwezi wabadilisha. Hivyo hata na wewe utabaki kuungulia majungu ukinywa viroba Manzense lakini huwezi kutubadilisha. Unachoona kama kero, kwangu mimi ni raha, na hivyo pia kinachonikera lakini kwenu ni tamaduni.
Mimi kama Mkenya huwa sijui kupaka mafuta kwa mgongo wa chupa, nakupa live ufie mbali, hilo ndio tatizo letu. There is a way I love my tea, na nikiwa hotelini huwa nasisitiza iwe nitakavyo, siombi ila naagiza na kulipa and I need my service. Wewe lipisha hata zaidi lakini unihudumie nitakavyo. Wakenya tukiwa kwenye miradi tumezoea kwenda na muda, yaani timelines and deliverables, tasks, activities, milestones,KPIs etc tumezoea perfomance contracts, tumezoea kuwajibishwa, lakini Mtanzania kwenye miradi unakua kero halafu hujazoea kuwajibishwa, kila ukiguzwa unanuna eti kisa wewe ni mzawa. Hebu jiulize kwa nini unakuta mabango ya ajira kwenu ya makampuni yaliyomilikiwa na Watanzania lakini wanatangaza mojawapo wa sifa/vigezo lazima mtu awe Mkenya ndio upate hiyo kazi, wakati anayemiliki kampuni na kutangaza hiyo nafasi ni Mtanzania.
Vile nilivyo ndivyo nilivyo, sina huo undugu ndugu wenu wala udada, yangu ni maslahi na kuhakikisha nifanyacho kinafanikiwa bila vijisababu vya kisen.ge sen.ge.
Kama kampuni gani ya mtanzania iliyotoa sharti la mwajiriwa lazma awe mkenya?????? Embu acha uongo bwana sura ka pumbu la mjumbe.
Uwa napenda sana kutukanwa kama ulivyofanya wewe, asante. Na hao Watanzania waliojaa kwenye soko la Gikomba Nairobi nao wafurushwe sio? Naogopa kutukana bure hapa.
Tiba
Hilo eneo linaloongelewa ni la mpakani na ni Masai land.
Historia inatufundisha kuwa Wamasai ni wahamahamaji na eneo hilo lote mpaka kuingia Kenya linajulikana kihistoria kama Masai land. Ni vigumu sana kuwatenganisha Wamasai wa Kenya na Tanzania, labda aamuwe mwenyewe tu.
Watazamwe wale ambao si Wamasai na washughulikiwe kisheria bila jazba, tusigeuke Afrika Kusini.
Mbona mnatetea mambo ya kijinga hivyo? Kisa waTz wamejazana huko Gikomba, basi wakenya waishio tz wafatiliwe?
Binadamu yoyote anapoamua kuvuka mipaka yake kwenda "kuishi" nchi nyingine ni lazima ahakikishe kuwa anafuata taratibu na sheria zilizowekwa. Haijalishi ni mtz kwenda Kenya au ni mkenya kuja Tanzania. Ninashangaa sana wasomi kabisa wanatetea huu upumbavu.
Kama yupo mkenya aishie Tanzania bila vibali, afatiliwe ili aishi kihalali, na huko Kenya kama kuna watanzania wanaoishi bila kufuata taratibu nao wafuatiliwe.
Hizi nchi zetu za kijinga sana, mtu anakuja Tanzania hana vibali lakini anatengeneza line ya simu kwa jina analotaka, anapata huduma zote bila vibali. Huu ni upumbavu sana. Kwani hatuna serikali inayosimamia hizi mambo?
Mwanza kuna wakenya wengi kuliko wasukuma hadi najiuliza hao imagration kazi yao nini?
Hehehe!! hii ina ukweli fulani nakiri kama Mkenya. Niliwahi fanya mradi fulani Mwanza halafu jioni nikaamua kutalii na kutafuta sehemu poa ya kula bata, nilizunguka mji na taxi kwenye vilabu vikubwa kama Park Villa na Diamond, aisei niliwakuta Wakenya wanakula bata nikadhani Nairobi. Duh! sasa mnataka vipi, kutucharanga mapanga kama Wasouth ama niaje, maana hata mademu wenu tunawapenda, kwanza mimi hata kwa mapanga siachii nikikutana na toto nzuri la Tanga. kui