kui
JF-Expert Member
- Mar 2, 2009
- 6,467
- 6,500
Hehehe!! hii ina ukweli fulani nakiri kama Mkenya. Niliwahi fanya mradi fulani Mwanza halafu jioni nikaamua kutalii na kutafuta sehemu poa ya kula bata, nilizunguka mji na taxi kwenye vilabu vikubwa kama Park Villa na Diamond, aisei niliwakuta Wakenya wanakula bata nikadhani Nairobi. Duh! sasa mnataka vipi, kutucharanga mapanga kama Wasouth ama niaje, maana hata mademu wenu tunawapenda, kwanza mimi hata kwa mapanga siachii nikikutana na toto nzuri la Tanga. kui
Haha!,.....unaijua shughuli ya watoto wa Kitanga eh!, I told you once you go Tanzanian you can't go back...lol!