Wakenya wavamia Tanzania

Wakenya wavamia Tanzania

Linchi la watu wasiofikiria. Ukiangalia viongozi wao wanakesha mabaa na night clubs huko dofoma na Dar. Mchana ndio wanashow off ukubwa wao kwenye supermarkets uchwara. na vikao visivyo na tija. Wanafikiri saa ngapi?

Huwezi kufikiri kama hujajipa muda wa ukimya wa kutosha tena kila siku. Sasa wao hufikiri saa ngspi?
"He who does'nt think is dead"
Tz tunaongozwa na hao. Nasi tunakaribia kuwa kama wao. Ndio maana tunawapa kura hao magamba wakati tunajua wako nusu au wafu kabisa.
 
Hii serikali bana...hivi hadi wakenya 280 wanaingia Tanzania, serikali imelala tu...!!? Hii aibu kubwa sana...mkuu wa Wilaya, yuko tu, Mkuu wa Mkoa yuko tu, RPC yuko tu, Mkuu wa Police Wilaya yuko tu, wana TISS Taifa, Mkoa, Wilaya wako tu...!!"? Hivi mnaijua Kenya jamani..!!? Mtanzania kamwe huwezi miliki hata meter moja ya ardhi Kenya...hata biashara au nn, Kenya hawafai, sisi cjui kwan serikali haisikii hili...Wakenya mnawapa ardhi..!!? Au work permit kilaini tu hapa Tz...!!?

Very sad indeed...eeehh...!!!
 
nimefika kenya kununua tu line ya simu nipunguze gharama ya makato ya mtandao wa bongo kutumika kenya,
ikashindikana, lazima uwe na cheti cha taifa.

nilichoka wakat hapa kwetu unauziwa baani na unasajili kwa kuchagua mwenyewe user name.
ww ni me bt unamwambia muuzaji sajili kwa maria na unasajiliwa.
bongo no criusness

wiseboy huwa nakuheshimu sana, hakuna haja ya kuja kudanganya watu hapa, ukiwa na passport tu, unaruhusiwa kununua laini ya simu, mbona unataka kusema kuwa lazima uwe na cheti cha taifa? Mbona tunaeneza chuki baina yetu? ukiingia Kenya wabongo wengi tu na hawa baguliwi, soko la Gikomba ni la watanzania na hata siku moja hautaskia wakenya wakisema watanzania wamechukua soko lao. Sisi ni majirani, wengine wetu tuna familia pande zote mbili, lakini sielewi jinsi watu wanavyojaribu kuonyesha kuwa Kenya ni adui wa Tanzania, tusifunze watoto wetu haya, wacha watu waungane tujenge nchi dhabiti tuwache huu upuzi wakutaka kufukuza wahamiaji.
 
Jamani tuache chuki zisizo kuwa na mshiko kwa majirani zetu. Kumbuka hata Kenya kuna Watanzania kibao wanaoishi huko bila visa wala vibali maalumu. Na sio kweli kusema eti Wakenya hawawezi kukupa nafasi ya kufanya biashara. Ninao uhakika na hili kwani katika soko maarufu la kikomba pale Nairobi kuna Watanzania wengi sana wanafanya biashara zao za kuuza nguo, viatu, vyombo vya ndani, samaki n.k na hakuna mkenya anayewabugudhi.

Ingawaje sisemi jirani zetu waje kiholela, lakini tusitumie lugha ya kusema tuwafukuze kwani nao wanaweza kuwafukuza Watanzania walioko Kenya vile vile.

Tiba

Wewe akili mgando kweli....kenya unaifahamu vizuri kweli???
Ni bora ukataliwe waziwazi kuliko wanavyofanya hawa jamaa...yaani unazibwa pumzi na unakufa kimyakimya...
#KilaMtuKwo ....
 
Hii serikali bana...hivi hadi wakenya 280 wanaingia Tanzania, serikali imelala tu...!!? Hii aibu kubwa sana...mkuu wa Wilaya, yuko tu, Mkuu wa Mkoa yuko tu, RPC yuko tu, Mkuu wa Police Wilaya yuko tu, wana TISS Taifa, Mkoa, Wilaya wako tu...!!"? Hivi mnaijua Kenya jamani..!!? Mtanzania kamwe huwezi miliki hata meter moja ya ardhi Kenya...hata biashara au nn, Kenya hawafai, sisi cjui kwan serikali haisikii hili...Wakenya mnawapa ardhi..!!? Au work permit kilaini tu hapa Tz...!!?

Very sad indeed...eeehh...!!!

Acha upuuzi wako wachuki kijana! unajua idadi ya watanzania waliokodisha maheka ya mashamba huko kenya kwa ajili ya kilimo cha kumwangilia? au siasa za bongo zilisha kudumasa!
 
Tuache kulalamika tatizo letu sisi tunangangania mjini tu wakati bado Kuna fursa kubwa, kubwa tu ni hao wageni waishi na wafate taratibu za nchi.
Mfano Kuna wakati nlikuwa na uzi mmoja Ukiwa unasema kuwa rufiji Kuna maeneo makubwa eka 1 ni sh 100,000 Kuna watu wa kapinda sjui mbali na blah blah kibao....kuna wakati fulani nitaenda huko rufiji nkakuta kna mkenya kununua ekari 400 Yuko na mtanzania
 
Acha upuuzi wako wachuki kijana! unajua idadi ya watanzania waliokodisha maheka ya mashamba huko kenya kwa ajili ya kilimo cha kumwangilia? au siasa za bongo zilisha kudumasa!
Hao wanalalamika kwenye fursa zikitokea hawaonekani
 
Mwana jamvi amesema Soko la Gikombaa limejaa wa TZ, je anaweza kutuambia kwa wastani soko hilo huunguwa mara ngapi kila mwaka na kuteketeza bidha zote.
 
Kuwahifadhi kwa ajili ya manufaa ya kisiasa kutatuangamiza. Tume pata kuwakuhifadhi pia Wasomali wengi mkoa wa Pwani na kuwapatia kadi za chama hicho hicho na Wanyarwanda pale Tabora na Rukwa na kuwapa kadi za chama hicho hicho kwa ajili ya manufaa ya kushinda uchaguzi ati kwa kishindo. Tunajimaliza kwa siasa nyepesi
 
anhaaaaa wamefata nini tena kwetu? Haya ngoja tufanye yetu wazee wa xemophobia
 
View attachment 245320

Gazeti la Jamhuri limeripoti kuwa Wakenya zaidi ya 280 wameingia Loliondo pamoja na Serengeti na kuishi kinyume na sheria.

Baadhi yao wamediriki hata kupewa uanachama wa CCM na kupewa uongozi mbalimbali wa chama hicho. Mkuu wa Wilaya amekiri kuwepo kwa wahamiaji haramu hao.

Mpaka sasa ni 17 tu ambao wamekamatwa na kufikishwa mahakamani.

Majina yote jamhuri wameyaweka ili kuvisaidia vyombo vya usalama kuwashughulikia.

Maoni yangu ni kuwa hili suala ni nyeti sana hasa wakenya sio majirani wazuri kama tunavyowafikiri.

Kwao hawawezi kukuruhusu hata kupata eneo la biashara kirahisirahisi, waulize Watanzania wanaoishi mipakani watawapa majibu.

Hivyo viongozi husika walichukulie serious ili jambo waache virushwarushwa. waanze kuwashughulikia kama ile operation kimbunga.

acha wachote maana uchumii mnao mnaulalia
 
Tatizo sio chuki wameingia kihalali nchini wamefata taratibu.YaniMtanzania apewe ardhi wakati kwao ardhi ni shida.

Tanzania ardhi hupewi wewe unajimegea tu kama ni raia wa ki tanzania!
 
View attachment 245320

Gazeti la Jamhuri limeripoti kuwa Wakenya zaidi ya 280 wameingia Loliondo pamoja na Serengeti na kuishi kinyume na sheria.

Baadhi yao wamediriki hata kupewa uanachama wa CCM na kupewa uongozi mbalimbali wa chama hicho. Mkuu wa Wilaya amekiri kuwepo kwa wahamiaji haramu hao.

Mpaka sasa ni 17 tu ambao wamekamatwa na kufikishwa mahakamani.

Majina yote jamhuri wameyaweka ili kuvisaidia vyombo vya usalama kuwashughulikia.

Maoni yangu ni kuwa hili suala ni nyeti sana hasa wakenya sio majirani wazuri kama tunavyowafikiri.

Kwao hawawezi kukuruhusu hata kupata eneo la biashara kirahisirahisi, waulize Watanzania wanaoishi mipakani watawapa majibu.

Hivyo viongozi husika walichukulie serious ili jambo waache virushwarushwa. waanze kuwashughulikia kama ile operation kimbunga.

NairobiWalker sam999
 
Last edited by a moderator:
Wakenya ni watu wa kutumia fursa. Kwa sasa tanzania sio tena shamba la bibi bali shamba la marehemu. Bora bibi unaweza kumuogopa kama yupo shambani lakini shamba la marehemu halina mwenye! Watoto wamelitelekeza na kuzamia mijini!
 
Yaani unga umeingia mchanga, limeanzishwa kule South na linaenea sasa. Wakenya tunaopiga deals EAC na haswa Bongo tukae mkao wa kuondoka wakati wowote, magazeti yao yameanza kukinukisha. Halafu yao itakua Kenyaphobia sio xenophobia maana wana majungu na Wakenya tu, hawajali kuhusu Wahindi wala Wachina wanaowanyanyasa kila uchao.
Naomba sana Kenya tusiingie chuki za aina hii, Wabongo wote waliopo Kenya kwa maelfu waishi kwa amani siku zote.

attachment.php

http://www.presstz.net/details/wakenya-wavamia-tanzania-177737.html

https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/839300-wakenya-wavamia-tanzania.html
 
Back
Top Bottom