Wakenya wameanza tena, this time ni Kigamboni Bridge

Wakenya wameanza tena, this time ni Kigamboni Bridge

Sijui kama daraja linaingiza foreign exch au ni kivutio cha watalii....?????Turudini LUGUMI na kwenye madawati na majipu.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3]wanafurahisha sana hawa jamaa,tukishamaliza nao league kwenye vitu vya maendeleo na suggest tuje kwenye hili..KATI YA TANZANIA NA KENYA NI WAPI KUNA WAREMBO ZAIDI?
 
Suprising Grumpy-old-man-looks-over-spectacles-shocked-and-disapproving.jpg
 
Kuna kauli tatanishi kuhusu Lugumi Ent.hebu mwenye ukweli atuwekee hadharani.Kuhusu katiba mpya ya Warioba ......na pendekezwa wewe unapendelea serikali tatu au mbili....je mchakato ukirudia wangapi watakubaliana na mawazo yao ya mwanzo.....Daraja na barabara ni kama vile Calculator na Adding machine.
 
Hawa Jamaa zetuu bwana.Yaani wananifurahisha sana.Lakini ndiyo Maana ya East Africa
 
Kumbe mtu tena mtu mdogo tu anaweza kujibandikia mtandaoni kapicha ka kitu fulani kikubwa tu cha nchi nyingine na kudai ni cha nchini mwake pengine lengo lake likiwa ni kujifurahisha tu na watu wakawa attentive sana kwenye kapicha hako na kuibua mjadala mkubwa. Na pia kupelekea kula sana muda wa watu.
 
Kabisa mkuu tunaacha kujadili mambo ya msingi kabisa , akisema liko kwao atafaida nini kuna mtalii atakwenda kuliangalia?

Watanzania tunashida yale ya akili ndogo kutawala akili kubwa ndio hii kitu
 
Kabisa mkuu tunaacha kujadili mambo ya msingi kabisa , akisema liko kwao atafaida nini kuna mtalii atakwenda kuliangalia?

Watanzania tunashida yale ya akili ndogo kutawala akili kubwa ndio hii kitu
Na hata hao watalii wa kuja kuangalia na kushangaa eti daraja la Kigamboni sijui watakuwa wanatoka nchi zipi?! Labda wawe ni majirani zetu tulio nao katika Jumuiya yetu ya Afrika Mashariki tena hata wao kuliona hilo daraja itakuwa ni "katika pitapita zao tu".
 
Undugu wa Zanzibar na Mombasa daraja muhimu Pemba hadi Shimoni.
 
Hawa jamaa wanakula timming baadhi ya mambo ya EAC yaingizwe kwenye umoja huo.
Basi hapo ndio kila kitu kitakuwa chao,ila kwa bahati nzuri wabunge wa Africa Mashariki wapo kidete.
 
Upuuzi tu una attract watu kwa uwongo,wakija kulitafuta?
Ndio maana wameumbuka bomba la gesi,wametuma michoro ya bandari watu kwenda kukagua wamekuta panafanyika Ijitimai kubwa ya afrika mashariki na kati
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mama yangu!!
 
I take it as a joke. Kuna madaraja makubwa na mazuri kuliko hilo la kwenu na hawajasema yako Kenya. Kilimanjaro is not a man's built property.
 
Nasi inabidi tuwaige wakenya tuache kulialia. Tujitangaze
 
Back
Top Bottom