Gondwe
JF-Expert Member
- May 30, 2014
- 235
- 170
Hapana mzee hilo si daraja la Kigamboni, ni daraja tofauti ila zile kamba za kushikia daraja ndo zafanana,Safari wamehamia kwenye daraja la kigamboni.yani wameona haitoshi kwa mlima kilimanjaro,olduvai gorge,diamond platnumz....
hebu cheki hii......View attachment 339457