Wakenya wameanza tena, this time ni Kigamboni Bridge

Wakenya wameanza tena, this time ni Kigamboni Bridge

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,494
Reaction score
12,464
Safari wamehamia kwenye daraja la kigamboni.yani wameona haitoshi kwa mlima kilimanjaro,olduvai gorge,diamond platnumz....

hebu cheki hii......
IMG-20160417-WA0073.jpg
 
Hawa watu ni vibaka na wazee wa kujisifia sifia bila mipango, sasa hii imezidi mpaka daraja limezinduliwa juzi tuu aiseee.
 
Wakenya buana.. Hamjui Vizuri gharama dumisheni utamaduni wenu pale Mombasa ni kivutio pia.
 
Hawa bado kumuiba Magufuli na kusema ni wao pia.
 
Back
Top Bottom