Thomas Sankra Jr
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 418
- 128
Hawa jamaa akili zao ni chache sana
Wana balaa hawa.......
Sasa hao wageni wakifika na kutaka kuliona hilo daraja huko Machakosi wanawaonyesha nini au makende yao...Wanajua advertise na kuattract foreignerz
mweeeeeeeeeeeeeeeeeeeh!Safari wamehamia kwenye daraja la kigamboni.yani wameona haitoshi kwa mlima kilimanjaro,olduvai gorge,diamond platnumz....
hebu cheki hii......View attachment 339457
ziro BrainSafari wamehamia kwenye daraja la kigamboni.yani wameona haitoshi kwa mlima kilimanjaro,olduvai gorge,diamond platnumz....
hebu cheki hii......View attachment 339457
Upuuzi tu una attract watu kwa uwongo,wakija kulitafuta?Wanajua advertise na kuattract foreignerz
Mfa maji haachi kutapatapa.Safari wamehamia kwenye daraja la kigamboni.yani wameona haitoshi kwa mlima kilimanjaro,olduvai gorge,diamond platnumz....
hebu cheki hii......View attachment 339457