Naungana na mtafiti yule wa 71% ya watu miongoni mwetu ni joblessKama kawaida ya hawa ndg zetu kile kilichokizuri ni chao
Urefu wake km ngapi?Nyali Bridge ina zaidi ya miaka 20 na ni refu.Sasa hivi linajengwa daraja lingine pale ilipokuwa Old Nyali bridge....
Ukweli sijui lina urefu wa km ngapi......lakini nitatafuta.ahsante kwa swali zuri ....ni elimu.Urefu wake km ngapi?
Kigamboni ni m 680Ukweli sijui lina urefu wa km ngapi......lakini nitatafuta.ahsante kwa swali zuri ....ni elimu.
Km au meters......nadhani hapo kuna finger problem.Tufanye mt 680.Kigamboni ni km 680
...teh teh teh..ndo umeandika nini we 'nyang'au?'...watanzania tunachezewa akili na tunakubali kuchezewa kwa akili na fikra zenu kila kitu mnakimbilia kulaumu wakenya hata kwa mambo yasio na msingi,hivi kenya wana. Flyovers ngapi ? Za kms ngapi?tuwe serious jamani,hivi mnajua hapo LIKONI KUNA VIVUKO VINGAPI? unajua kuna madaraja mangapi ya mazuri na marefu yamejingwa siku nyingi,Hivi TANZANIA YETU KUNA SEHEMU KWA MAANA ROUTE YA MKOA TO MKOA YENYE MAGARI YANAYITEMBEA USIKU? MIMI NI MTANZANIA NIMETEMBEA PART YA KENYA KIDOGO SERIOUS WENZETU WAKO VIZURI SANA,KULIKO SISI HAPO LIKONI NI FREEPASS WANA VIVUKO VINNE NA WANAMPANGO WA KUWEKA DARAJA PIA MNYONGE MNYONGENI ILA HAKI YAKE MPENI
Asante kaka mungu akubariki...teh teh teh..ndo umeandika nini we 'nyang'au?'...
Baki kwenye mada
Nimesha editKm au meters......nadhani hapo kuna finger problem.Tufanye mt 680.