Wakenya wameanza tena, this time ni Kigamboni Bridge

Wakenya wameanza tena, this time ni Kigamboni Bridge

Kabisa mkuu tunaacha kujadili mambo ya msingi kabisa , akisema liko kwao atafaida nini kuna mtalii atakwenda kuliangalia?

Watanzania tunashida yale ya akili ndogo kutawala akili kubwa ndio hii kitu
ningekuona mjanja sana km ungepita kimya kimya bila kukomenti kwa hii thread.but kwa vile umekomenti kwenye thread unayo claim kua ni ya kipuuzi basi na wewe ni miongoni mwa wapuuzi.!!
 
62b6f0b635b5fad25601f41ca28d0246.jpg
 
watanzania tunachezewa akili na tunakubali kuchezewa kwa akili na fikra zenu kila kitu mnakimbilia kulaumu wakenya hata kwa mambo yasio na msingi,hivi kenya wana. Flyovers ngapi ? Za kms ngapi?tuwe serious jamani,hivi mnajua hapo LIKONI KUNA VIVUKO VINGAPI? unajua kuna madaraja mangapi ya mazuri na marefu yamejingwa siku nyingi,Hivi TANZANIA YETU KUNA SEHEMU KWA MAANA ROUTE YA MKOA TO MKOA YENYE MAGARI YANAYITEMBEA USIKU? MIMI NI MTANZANIA NIMETEMBEA PART YA KENYA KIDOGO SERIOUS WENZETU WAKO VIZURI SANA,KULIKO SISI HAPO LIKONI NI FREEPASS WANA VIVUKO VINNE NA WANAMPANGO WA KUWEKA DARAJA PIA MNYONGE MNYONGENI ILA HAKI YAKE MPENI
Kama uko serious na kama sio mvivu na kama siyo Mkenya unafahamu daraja ndefu na la kisasa mpaka muda huu?
 
Some few photos and pics to show the Reality! kwanini Wazungu na Asians wanaendelea! kuna kuwa na wivu wa maendeleo baina yao! so we ukifanya ivi mie ntafanya best zaidi yako hence maendeleo! daraja la kikoni ambalo Christina Shusho alifanyia video yake LOL
 
Kwa mujibu wa picha hapa chini...


uploadfromtaptalk1461054935724.jpg

[emoji1] [emoji1]
 
Tuwaachie tu na hili letu liwe lao sisi wengine hatupendi ugomvi
 
Back
Top Bottom