watanzania tunachezewa akili na tunakubali kuchezewa kwa akili na fikra zenu kila kitu mnakimbilia kulaumu wakenya hata kwa mambo yasio na msingi,hivi kenya wana. Flyovers ngapi ? Za kms ngapi?tuwe serious jamani,hivi mnajua hapo LIKONI KUNA VIVUKO VINGAPI? unajua kuna madaraja mangapi ya mazuri na marefu yamejingwa siku nyingi,Hivi TANZANIA YETU KUNA SEHEMU KWA MAANA ROUTE YA MKOA TO MKOA YENYE MAGARI YANAYITEMBEA USIKU? MIMI NI MTANZANIA NIMETEMBEA PART YA KENYA KIDOGO SERIOUS WENZETU WAKO VIZURI SANA,KULIKO SISI HAPO LIKONI NI FREEPASS WANA VIVUKO VINNE NA WANAMPANGO WA KUWEKA DARAJA PIA MNYONGE MNYONGENI ILA HAKI YAKE MPENI