Wakenya ndani ya pccb na usalama wa taifa

Wakenya ndani ya pccb na usalama wa taifa

Status
Not open for further replies.
Mkuu bora mrudishe kesi yake kubwa. Human trafficking hiyo!
 
Ni vema ukotoa taarifa hizo, endapo una ushahidi hata kidogo kwa Idara ya Uhamiaji ndio wanahusika na mambo ya uraia
 
Mhhhh inawezekana kweli?

kwa sasa mshauri mkuuwa rais juu ya ziwa hilo ni mnyasa, ni bwana APSON MWANGONDA aliyekuwa UWT chief....................... The drama goes on.
 
Ni vema ukotoa taarifa hizo, endapo una ushahidi hata kidogo kwa Idara ya Uhamiaji ndio wanahusika na mambo ya uraia

Kwani hata wakijua watafanya nini kwamfano?? Pale uhamiaji ni genge la wachumia tumbo. Chukua hiyo.
 
ukitaka ikweli wa wageni hata NYERERE hakua raia kamili wa TZ..GR ..ULIMWENGU na wengi tu na ukienda MBEYA utakuta wengi tu cha muhim je ANAWAJIBIKA VIPI??katika kazi zake??HATA OBAMA kule AMERICA sio raia hizoakili hazitajenga inchi yetu bila wageni hakuna mabadiliko ya maisha DUNIANI KOTO ...kama hakuna madhala haina shida

Mmh.......Inaelekea ata wewe ni mkenya maana hiki kiswahili ulicho andika hapa ni utata mtupu...!
 
Hakuna wakenya usalama wa taifa. Wangekuwepo TISS isingekuwa hovyo hivi.
 
Weka utambulisho wao kwa namna yoyote hapa na watashughulikiwa mara moja. Tusilalamike ila tutende kwa mustakabali wetu na vizazi vijavyo.
Ni wajibu wa kila mwananchi kufanya kila awezalo kuilinda nchi yake. Timiza wajibu wako kwa kuweka taarifa sahihi hapa kama huwezi kuzifikisha au huamini vyombo vinavyohusika!
 
Wamwage mwana kama unawajua,ya nini kunung'unika pembeni?
 
hata ndani ya KGB kulikuwa na wamarekani na ndani ya CIA kulikuwa na warusi.it is not a big deal especially kama tumewatambua!labda mtoa hoja atuambie ni watanzania wangapi wako kwenye taasisi nyeti za kenya.
 
Na inasemekana idadi kubwa ya vitambulisho vya utaifa vimetolewa kwa wageni (wakenya, waganda, wanyaruanda) na wazalendo si wengi...Hapoo sasa...............!:embarassed2:

porous system, headless tactics and mega weaknesses in leadership

Chaguo ni letu
 
Sasa mkuu inaonekana wazi uko ktk nafasi nzuri ungerahisisha kwa kuwataja majina ili ukweli uweze kujulina kwa haraka. Twakungoja uje na ufumbuzi kwa majina ili mambo yawe njema.

Kennedy@Kama majina yao halisi na picha tulikwisha wasilisha kwa senior security officials. Infiltration of foreign agents may harm national interest at the end of the day. Watch out guys.
 
Makosa yalifanyika kipindi cha Nyuma,Kwa uongozi JK,sina uhakika kama kuna damu ya Kigeni kwenye Taasisi hzo Nyeti...

Damu za kigeni zipo ndugu yangu. We know how to spot and sniff the danger. Tena watanzania hawa hawa ndio wanatumika kuwaingiza humo.
 
Kweli Elimu ya Mjinga ni Majungu!
Mtanzania halisi ni nani??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom