Wakenya na uchaguzi wa TZ

Wakenya na uchaguzi wa TZ

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
62,189
Reaction score
128,283
Caroline Kiyoki: Niaje James?

James: Poa Caro, za Kenya?

Caroline Kiyoki: poa. You are lost au uko kwa campaign ya Tz?

James: hapana,

Caroline Kiyoki: Ati nikuulize kitu?

James: Yap!

Caroline Kiyoki: ati huko tz ako na mgombea wa urais hana wife? Sijui ccm?

James: ndiyo, wameachana.

Caroline Kiyoki: 😳😳😳

Caroline Kiyoki: sasa hata kwa campaign hamfanyii? Na first lady itakwaje kama huyo mgombea aki win election?

James: hapana, hawezi kushinda ndio maana hajaangaika kutafuta hata nyumba ndogo.

Caroline Kiyoki: what do you mean by Nyumba ndogo?

James: Bibi mwingine.

Caroline Kiyoki: 😀😀😀

Caroline Kiyoki: na pia nasikia kuwa ako na mwingine who doesn't know English!😜😜😜

James: ndo huyo huyo ambae ana mgogoro na wife wake.

Caroline Kiyoki: 🙊🙊🙊

Caroline Kiyoki: Nasikia mwingine is mad! Hapiti kwa mlango wa gari, anaruka juu na akiwa kwenye rally anafanya body exercise kwansa.

James: yeah, ndo huyo huyo.

Caroline Kiyoki: U can't be serious u
Tanzanians! Hiyo party yake aiko serious!

James: hawezi kupita. Watu wanamwona kama comedian, Mr Bean.

Caroline Kiyoki: hayo mweke kwa maajabu ya dunia!...😱😱😱😱
 
Wakae kimya! kikubwa zaidi watuombee amani itawale ktk kipindi hiki. mengine hayawahusu
 
Do to we chiz kweli ndo waamin ni wakenya kweli? Hapa MTU anazodolewa kwa vitendo vyake vya kitoto
 
kuna maswali pia umesahau

....ati yupo mwengine ambaye kakana kabila lake

...pia yupo mwengine ambaye huwa anajinyea kwenye mikutano

...ati vip kuhusu yule anaewaua wanaomwekea kiwingu

...yupo mwengine, anasahau jina la mkewe na first born wake

...ati vip kuhusu yule ambaye anawaombea kura wagombea wa chama alichokatwa

...pia yupo mwengine hataki mikutano ya live

...yupo mwengine ambaye anafufua wafu

...yupo mwengine ambaye hawez ongea zaid ya dk 10

....ati nna maswal mengi but niko na kazi but badae ntakuja unjuze kuhusu ishu za tziii
 
Hahahahaa Umepaniki brazaaaaaa ( in chibu's voice )
 
Back
Top Bottom