Mazungumzo na Mkenya juu ya uchaguzi wa Tz

Tangopori

JF-Expert Member
May 11, 2012
1,629
1,282
Caroline Kiyoki: Niaje James?

James: Poa Caro, za Kenya?

Caroline Kiyoki: poa. You are lost au uko kwa campaign ya Tz?

James: hapana,

Caroline Kiyoki: Ati nikuulize kitu?

James: Yap!

Caroline Kiyoki: ati huko tz ako na mgombea wa urais hana wife? Sijui ccm?

James: ndiyo, wameachana.

Caroline Kiyoki: 😳😳😳

Caroline Kiyoki: sasa hata kwa campaign hamfanyii? Na first lady itakwaje kama huyo mgombea aki win election?

James: hapana, hawezi kushinda ndio maana hajaangaika kutafuta hata nyumba ndogo.

Caroline Kiyoki: what do you mean by Nyumba ndogo?

James: Bibi mwingine.

Caroline Kiyoki: 😀😀😀

Caroline Kiyoki: na pia nasikia kuwa ako na mwingine who doesn't know English!😜😜😜

James: ndo huyo huyo ambae ana mgogoro na wife wake.

Caroline Kiyoki: 🙊🙊🙊

Caroline Kiyoki: Nasikia mwingine is mad! Hapiti kwa mlango wa gari, anaruka juu na akiwa kwenye rally anafanya body exercise kwansa.

James: yeah, ndo huyo huyo.

Caroline Kiyoki: U can't be serious u
Tanzanians! Hiyo party yake aiko serious!

James: hawezi kupita. Watu wanamwona kama comedian, Mr Bean.

Caroline Kiyoki: hayo mweke kwa maajabu ya dunia!
 
Caroline Kiyoki: Niaje James?

James: Poa Caro, za Kenya?

Caroline Kiyoki: poa. You are lost au uko kwa campaign ya Tz?

James: hapana,

Caroline Kiyoki: Ati nikuulize kitu?

James: Yap!

Caroline Kiyoki: ati huko tz ako na mgombea wa urais hana wife? Sijui ccm?

James: ndiyo, wameachana.

Caroline Kiyoki:
 
Caroline Kiyoki: 

Caroline Kiyoki: sasa hata kwa campaign hamfanyii? Na first lady itakwaje kama huyo mgombea aki win election?

James: hapana, hawezi kushinda ndio maana hajaangaika kutafuta hata nyumba ndogo.

Caroline Kiyoki: what do you mean by Nyumba ndogo?

James: Bibi mwingine.

Caroline Kiyoki: 

Caroline Kiyoki: na pia nasikia kuwa ako na mwingine who doesn't know English!

James: ndo huyo huyo ambae ana mgogoro na wife wake.

Caroline Kiyoki: 

Very nice joke brimming with sparkling humour, some sprinkling
of wisdom etc. Congrats Tangopori.
 
Last edited by a moderator:

Back
Top Bottom