Ramo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 1,819
- 1,816
Vita gani mmepigana nyinyi na mkashinda? Nguluwe nyinyi...Sasa nyinyi mnadhani mnaeza pigana na sisi? Vitunguu nyinyi.
Vita gani mmepigana nyinyi na mkashinda? Nguluwe nyinyi...Sasa nyinyi mnadhani mnaeza pigana na sisi? Vitunguu nyinyi.
Familia nyingi sana za wakenya hadi Leo hazijapokea miili ya wapendwa wao, wala kujua walipo baada ya shambulio la El Ade na hakuna taarifa zozote toka Serikalini, wengi wameshakata tamaa.eti ywatoa mfano na ethiopian airline eti mili ilichomeka mpka jivu ...alisahau ya kwamba familia zao walijitokeza na kuomboleza..sasa muulize ni familia gani eti wampoteze mpendwa wao na eti wakae kimya hta wasiomboleze kisa serikali
Hizo familia mbona hazijaongea na media za Kenya?Familia nyingi sana za wakenya hadi Leo hazijapokea miili ya wapendwa wao, wala kujua walipo baada ya shambulio la El Ade na hakuna taarifa zozote toka Serikalini, wengi wameshakata tamaa.
Wameongea sana na wapo you tubeHizo familia mbona hazijaongea na media za Kenya?
hohohooooo...naona uko desperate sasa..bwahahaa..leta hzo familia za hao watu 250 hko youtube wakilalamika tuwaone...yani hutoki...ukichange gear niko na wewe...hapa mwisho utatoroka nakwambia....na km hao 250 waona hakuna usitokwe na povu...njoo taratibu u.nieleze nitakuelewa kaka...sindano lazima nikudunge lkn...Familia nyingi sana za wakenya hadi Leo hazijapokea miili ya wapendwa wao, wala kujua walipo baada ya shambulio la El Ade na hakuna taarifa zozote toka Serikalini, wengi wameshakata tamaa.
kw akili zake za ccm anadhani habari km hzo kenya zitakaa youtube na kuozea hko...bwahaa..mi napenda hoja za wabongo km hz...huaga unamkamata vizuri...bora usimtusi tu..ju atachange story..
Hizo familia mbona hazijaongea na media za Kenya?
kwn tanzania mmeshwai pigana vita mkashinda...au ni zile collabo..Vita gani mmepigana nyinyi na mkashinda? Nguluwe nyinyi...
Wanajeshi wa Kenya walio uliwa somalia ni zaidi ya 1200 kila siku Mbili anakufa mwanajeshi mmojahao wanajeshi mia nne kwn hawana familia...bwahahaa.....
endelea kueneza chuki dhidi ya wakenya tu...mili ililetwa kitu 150 hv na basi..haya hao 250 wataka kusema waliletwa kisirisiri..heheeee...kweli uchawi tanzania ni janga la taifa...
unafikiria ni mkenya gani anaweza kubali eti mili isiletwe na mtu wao asionekane...ungeliona kivumbi kenya.....hku watu hawaburuzwi..danganya raia kw vitu vngne wala si mili ya wapenda wao...alafu nikuulize...hyo mili ya hao wanajeshi 250 mazishi yalifanyika wapi...
bwahahaa...povu rukhsa..
Ndio maana yake..Dawa hapo ni Tanzania kujenga ile barabara yetu ya lami, wameweka mguu sisi tuweke gogo.
Usijitie hamnazo. Familia zilizoongea kwa media hazijapita ishiriniWameongea sana na wapo you tube
Evidence iko wapi ama tukuamini juu wewe ni Iwiva?Wanajeshi wa Kenya walio uliwa somalia ni zaidi ya 1200 kila siku Mbili anakufa mwanajeshi mmoja
hohohooooo...naona uko desperate sasa..bwahahaa..leta hzo familia za hao watu 250 hko youtube wakilalamika tuwaone...yani hutoki...ukichange gear niko na wewe...hapa mwisho utatoroka nakwambia....na km hao 250 waona hakuna usitokwe na povu...njoo taratibu u.nieleze nitakuelewa kaka...sindano lazima nikudunge lkn...
mara hoo,serikali imesficha...mara mili ilichomela na mingine imekatika vipande vipande..mara hoo ethiopian airways...sai uko youtube..hahaa..naona umekalia kuti kavu
Sasa ulitaka familia zote ziongee na ziwekwe youtube?, kwani wale watu 1500 waliokufa wakati wa PEV 2008, tulijua kwasababu familia zao zote ziliongea na kuwekwa YouTube?. Acheni kufikiria kwa mrengo wa ukabila.Usijitie hamnazo. Familia zilizoongea kwa media hazijapita ishirini
Leo umeongea point kidogo ,maana nilikua nampango wa kukurudisha kwenu, ngoja nivute subra kidogoSerikali ya Kenya haijawahi kulalamika kuhusu ujenzi wa barabara Serengeti, Kenya kama nchi haijawahi kuwa na tatizo kwa hilo, waliokua wanalalamika ni asasi za kijamii.
Lakini hili la sasa serikali ya Tanzania ndio inalialia.
Binafsi siungi mkono ujenzi wa hili bwawa bila ya tathmini zote za kimazingira kufanywa, Watanzania wasitupe tabu, cha msingi tujali vizazi vyetu vya kesho na tunawaachia nchi ikiwa vipi.
hao ndio familia 250...bwahahaaaa..wacha kuhaha ndugu yangu...eti haziezi wekwa zote...woooiiii...mitaani mbna hawajaomboleza km wale wa ET..hapa huruki...
zenye hazijaekwa umezijuaje wewe mdangayika...maskini..jamaa anatapatapa..yani yyy familia ambazo hazijalalamika youtube...
kw taarifa yako hao wa hapo youtube waliomboleza..lkn kuna wale ambao hawako youtube na hawajaomboleza..wako wapi joto la jiwe...
episode inaendelea tu...baada ya youtuube kuna wale ambao video zao hazikuwekwa..haya tuonyeshe zilipo
hao ndio familia 250...bwahahaaaa..wacha kuhaha ndugu yangu...eti haziezi wekwa zote...woooiiii...mitaani mbna hawajaomboleza km wale wa ET..hapa huruki...
zenye hazijaekwa umezijuaje wewe mdangayika...maskini..jamaa anatapatapa..yani yyy familia ambazo hazijalalamika youtube...
kw taarifa yako hao wa hapo youtube waliomboleza..lkn kuna wale ambao hawako youtube na hawajaomboleza..wako wapi joto la jiwe...
episode inaendelea tu...baada ya youtuube kuna wale ambao video zao hazikuwekwa..haya tuonyeshe zilipo
Nakuelewa sana. Lazima useme huu uongo wote ili usirejeshwe kwenu Rwanda kuuliwa na wahutu.Hitimisho ni kuwa KDF ilipoteza askari 800 kwenye ambush ya al adde kibaya zaidi baadhi ya askari wa kdf walinajisiwa that why Google ikaona iwafichie aibu kwa kufuta picha za matukio poor KDF