Wakenya : Mlituwekea kauzibe, Leo Mmesahau?

Lazima ionyeshe kwamba Kenya imetambulika kama nchi iliyofanya kazi kubwa kuliko nchi zingine zote. Iwe imetambulika officially.
Kwanza, tuanze kwa Amisom kabla hatujaenda mbali. Amisom yenyewe inakuambia Kenya iliingia Somalia 16th October 2011 lakini ilijiunga na Amisom 22nd February 2012. Kwa hivyo fahamu kuwa Kenya walikuwa na miezi minne tu kupepeta Alshabab. Nilifikiri ilikuwa mwaka mzima lakini nimeshangaa kuona kuwa Kenya ilikamata area hilo lote la southern Somalia kwa miezi minne tu. Hilo silo jambo dogo. Tena usije siku nyingine kusema Kenya sio member wa Amisom, watu watakucheka. Ndio tumeanza tu, usiwe na pupa. Nisubiri, nazama nitazuka hivi karibuni. Hii ni official source kutoka website ya Amisom. Utakuwa wazimu ukipinga nilichopost.

HomeAbout AMISOM AMISOM Mandate AMISOM Background Mission Profile AMISOM Police Humanitarian Work AMISOM Military Component AMISOM Civilian ComponentAbout Somalia Brief History Somali Peace Process Quick Impact ProjectsAMISOM News Featured Electoral Process 2016Press StatementsKey Documents Status of Mission Agreement (SOMA) United Nations Security Council Resolutions AU Statements & ReportsMedia Center AMISOM Magazine AMISOM Videos (News Reports) AMISOM Videos (Broadcasters) Focus On Somalia (Digital Multimedia) Photo Gallery More Resources Accreditation of Journalists Vacancies / Bids
Kenya – KDF
HOME ›› KENYA – KDF
Soldiers of the Kenyan Contingent serving with the African Union Mission in Somalia (AMISOM) stand in front of the black flag of the Al Qaeda-affiliated extremist group Al Shabaab painted on the wall of Kismayo Airport. On 02 October 2012, Kenyan AMISOM troops supporting forces of the Somali National Army and the pro-government Ras Kimboni Brigade moved into and through Kismayo, the hitherto last major urban stronghold of the Al-Qaeda-affiliated extremist group Al Shabaab, on their way to the city's airport without a shot being fired following a month long operation to liberate towns and villages across southern Somalia from Afmadow and Kismayo itself. AU-UN IST PHOTO / STUART PRICE.

Soldiers of the Kenyan Contingent serving with the African Union Mission in Somalia (AMISOM) stand in front of the black flag of the Al Qaeda-affiliated extremist group Al Shabaab painted on the wall of Kismayo Airport. On 02 October 2012, Kenyan AMISOM troops supporting forces of the Somali National Army and the pro-government Ras Kimboni Brigade moved into and through Kismayo, the hitherto last major urban stronghold of the Al-Qaeda-affiliated extremist group Al Shabaab, on their way to the city’s airport without a shot being fired following a month long operation to liberate towns and villages across southern Somalia from Afmadow and Kismayo itself. AU-UN IST PHOTO / STUART PRICE.
October 16th 2011, Kenya Defence Forces moved into Southern Somalia to pursue insurgents group Al Shabaab after a series of kidnappings of tourists along the border. One month, later Kenyan government agreed to re-hat its forces under the African Union Mission in Somalia.
The troops from Kenya were later formally integrated into AMISOM on February 22, 2012 after the United Nations Security Council passed Resolution 2036.
AMSOM’s Sector 2, which has its headquarters in the port city of Kismayo, is comprised of Lower and Middle Juba. Currently there are 3664 troops from Kenya after they pulled out a battalion when 850 Sierra Leonean troops arrived.
 
Attachments

  • 1557746202482.png
    1557746202482.png
    289.9 KB · Views: 17
Kwanza, tuanze kwa Amisom kabla hatujaenda mbali. Amisom yenyewe inakuambia Kenya iliingia Somalia 16th October 2011 lakini ilijiunga na Amisom 22nd February 2012. Kwa hivyo fahamu kuwa Kenya walikuwa na miezi minne tu kupepeta Alshabab. Nilifikiri ilikuwa mwaka mzima lakini nimeshangaa kuona kuwa Kenya ilikamata area hilo lote la southern Somalia kwa miezi minne tu. Hilo silo jambo dogo. Tena usije siku nyingine kusema Kenya sio member wa Amisom, watu watakucheka. Ndio tumeanza tu, usiwe na pupa. Nisubiri, nazama nitazuka hivi karibuni. Hii ni official source kutoka website ya Amisom. Utakuwa wazimu ukipinga nilichopost.

HomeAbout AMISOM AMISOM Mandate AMISOM Background Mission Profile AMISOM Police Humanitarian Work AMISOM Military Component AMISOM Civilian ComponentAbout Somalia Brief History Somali Peace Process Quick Impact ProjectsAMISOM News Featured Electoral Process 2016Press StatementsKey Documents Status of Mission Agreement (SOMA) United Nations Security Council Resolutions AU Statements & ReportsMedia Center AMISOM Magazine AMISOM Videos (News Reports) AMISOM Videos (Broadcasters) Focus On Somalia (Digital Multimedia) Photo Gallery More Resources Accreditation of Journalists Vacancies / Bids
Kenya – KDF
HOME ›› KENYA – KDF
Soldiers of the Kenyan Contingent serving with the African Union Mission in Somalia (AMISOM) stand in front of the black flag of the Al Qaeda-affiliated extremist group Al Shabaab painted on the wall of Kismayo Airport. On 02 October 2012, Kenyan AMISOM troops supporting forces of the Somali National Army and the pro-government Ras Kimboni Brigade moved into and through Kismayo, the hitherto last major urban stronghold of the Al-Qaeda-affiliated extremist group Al Shabaab, on their way to the city's airport without a shot being fired following a month long operation to liberate towns and villages across southern Somalia from Afmadow and Kismayo itself. AU-UN IST PHOTO / STUART PRICE.'s airport without a shot being fired following a month long operation to liberate towns and villages across southern Somalia from Afmadow and Kismayo itself. AU-UN IST PHOTO / STUART PRICE.

Soldiers of the Kenyan Contingent serving with the African Union Mission in Somalia (AMISOM) stand in front of the black flag of the Al Qaeda-affiliated extremist group Al Shabaab painted on the wall of Kismayo Airport. On 02 October 2012, Kenyan AMISOM troops supporting forces of the Somali National Army and the pro-government Ras Kimboni Brigade moved into and through Kismayo, the hitherto last major urban stronghold of the Al-Qaeda-affiliated extremist group Al Shabaab, on their way to the city’s airport without a shot being fired following a month long operation to liberate towns and villages across southern Somalia from Afmadow and Kismayo itself. AU-UN IST PHOTO / STUART PRICE.
October 16th 2011, Kenya Defence Forces moved into Southern Somalia to pursue insurgents group Al Shabaab after a series of kidnappings of tourists along the border. One month, later Kenyan government agreed to re-hat its forces under the African Union Mission in Somalia.
The troops from Kenya were later formally integrated into AMISOM on February 22, 2012 after the United Nations Security Council passed Resolution 2036.
AMSOM’s Sector 2, which has its headquarters in the port city of Kismayo, is comprised of Lower and Middle Juba. Currently there are 3664 troops from Kenya after they pulled out a battalion when 850 Sierra Leonean troops arrived.
Hahahahaha, acha kupoteza muda wako bure, nimekuambia lete link inayoonyesha kwamba Kenya imetambulika na UN au AU kwa utendaji kazi wake huko Somalia na kutunukiwa nishani kama Tanzania ilivyopewa Nishani huko DRC.

Haya Maneno mengi ya kujisifia hayatakikani, ninyi wakenya mnajulikana kwa kupenda sifa za kijinga. Hayo yote unayonitumia ni muendelezo wa tabia yenu ya kupenda SIFA za kijinga wakati hamna uwezo wowote, KDF is the weakest army in Somalia.

Mtu mwenye busara huwa hajisifu wala hashawishi watu wengine wamsifie, badala yake ukijisifu unazidi kutengeneza maadui zaidi. Tafadhali onyesha ni wapi AU au UN wamesema na kutambua kwamba KDF ndio waliofanya kazi kubwa kuliko nchi zote zilizoko Somalia.
 
Acha zako al adde palikuwa na battalion nzima ya KDF (800-1000) lkn waliopona kwenye hiyo ambush ni askari 41 tu
Waliokufa ni zaidi ya 400 that serikali ya Kenya iligoma kutoa idadi kamili ya vifo

Pia kumbuka hilo shambulio lilikuwa ni baya na la aibu saana mpaka Google wakagoma picha za hilo tukio zisiwekwe mitandaoni
Sasa hilo ni jeshi au maandazi yaani single attack wajeshi zaidi ya 150 wamauawa na wengine wananajisiwa duu....this is Kenya.
 
irakunda...mazishi ya hao askari 250 yalifanyika wapi..na famillia zao je...bwahaaahaaa...unahaha na hao hao wazungu ndio wamei rank kenya juu east africa...sasa mwenzako anahaha anataka sifa kutoka kw UN na wakati hao wazungu ndio waliwasifu na kuwa rank nyuma ya kenya kujeshi..bwahahaa
 
eti serikali ya kenya iligoma...familia zao nao pia waligoma kuitisha mili ya wapenda wao ili wawazike...bwahahaaa...hapa leo hutoki...na ukiquote ndio naja kukumaliza kabisa
 
Leo nikiwa nimepumzika nikaamua kuingia JF kusoma mada mbalimbali na moja ya mada zilizonishangaza ni ile ya ujenzi wa bwawa la umeme mto mara. Nimeshangaa jinsi Wakenya wanavyo jitutumua kwa nini wajenge bwawa huku wakitulalamikia sisi kutotaka wao kujenga. Moja ya hoja ya msingi iliyoelezwa na wadau ni ile ya kuharibu mazingira, kutokana na ecosystem ya Serengeti kutegemea mto mara.

Tukirudi nyuma, miaka michache iliyopita watu wa mkoa wa mara walitaka kujengewa barabara kuelekea Musoma kupitia mbuga ya Serengeti, kupunguza umbali wa safari ukilinganisha na huu ya sasa. Wakenya walipiga kelele sana, wakizunguka dunia nzima kupinga hiyo barabara isijengwe kwasababu za kimazingira ikiwa ni pamoja na kusumbua wanyama ambao huenda hadi Kenya.

>>> Wakenya waanza kulialia baada ya tanzania kuthibitisha kuanza ujenzi wa barabara kupitia serengeti
>>> Nyie kenya ujenzi wa barabara mbuga ya serengeti nini tatizo

Cha kushangaza leo wameanzisha mpango wa kujenga bwawa la kuzalisha umeme mto Mara na Tanzania imekuwa ikipinga kuwa bwawa hilo litaharibu ecosystem ya serengeti. Sasa kama mlipinga barabara yetu kujengwa kwasababu ya mazingira inakuwaje leo msiwe rafiki wa hayo mazingira kwa kujenga bwawa mbugani?
Roho mbaya haijawahi kuacha mtu salama, si waliona TZ watafadi usafirishaji ukiimarika
 
irakunda...mazishi ya hao askari 250 yalifanyika wapi..na famillia zao je...bwahaaahaaa...unahaha na hao hao wazungu ndio wamei rank kenya juu east africa...sasa mwenzako anahaha anataka sifa kutoka kw UN na wakati hao wazungu ndio waliwasifu na kuwa rank nyuma ya kenya kujeshi..bwahahaa
Acha kukimbia mada, tunataka mtuonyeshe ni nani aliyesema Kenya ndio iliyofanya kazi kubwa Somalia kuliko nchi zote, kama ni ninyi wenyewe ndio mliosema hivyo, hiyo inaeleweka, kwasababu mtu mjinga siku zote hujikweza.

Hivi kwanini GoK ilikataa kutoa "official figure" ya wanajeshi walikofa El ade massacre?, sasa mtu akisema ni zaidi ya 800 utapinga?, kuhusu kuwazika, hiyo sio hoja, mbona Ethiopia Airways hakuna hata mtu mmoja alipatikana kuzikwa, lakini idadi ya waliokufa ni 157, au kwasababu haeajazikwa kwahiyo hiyo idadi ya 157 sio kweli?.
 
Kama kweli mnajiamini mnajeshi kubwa east Africa semeni tena mlima Kilimanjaro ni mali yenu muone.
 
eti serikali ya kenya iligoma...familia zao nao pia waligoma kuitisha mili ya wapenda wao ili wawazike...bwahahaaa...hapa leo hutoki...na ukiquote ndio naja kukumaliza kabisa
Maiti nyingi hazikupatikana kutokana na MILIPUKO ilivyokua mikubwa, kuna vipate vya vya nyama vya wanaheshi wa KDF vilipatikana umbali wa meter 800, miili haikupatikana, mlitaka mzike nini?. Hivi kwanini GoK ilikataa kutoa idadi kamili?
 
Hahahahaha, acha kupoteza muda wako bure, nimekuambia lete link inayoonyesha kwamba Kenya imetambulika na UN au AU kwa utendaji kazi wake huko Somalia na kutunukiwa nishani kama Tanzania ilivyopewa Nishani huko DRC.

Haya Maneno mengi ya kujisifia hayatakikani, ninyi wakenya mnajulikana kwa kupenda sifa za kijinga. Hayo yote unayonitumia ni muendelezo wa tabia yenu ya kupenda SIFA za kijinga wakati hamna uwezo wowote, KDF is the weakest army in Somalia.

Mtu mwenye busara huwa hajisifu wala hashawishi watu wengine wamsifie, badala yake ukijisifu unazidi kutengeneza maadui zaidi. Tafadhali onyesha ni wapi AU au UN wamesema na kutambua kwamba KDF ndio waliofanya kazi kubwa kuliko nchi zote zilizoko Somalia.
Wewe wacha kubadilisha gear hewani. Mara unasema KDF haijafanya contribution yoyote Somalia. Ninalog off from JF for two hours ndio nifanye research kwa internet, ninarudi online kukupa uhondo, ninashangaa kupata kwamba umebadilisha goal post. Sasa hutaki kujua contributions za Kenya Somalia, unataka kujua kama wametunukiwa na U.N ama A.U. Sasa mbona kigeugeu namna hii? Kwa hivyo kama Kenya hawajatunukiwa hio ni kumaanisha hawajafanya lolote Somalia? Kwani ni lazima mtu atunukiwe anapofanya jambo hata kama hilo jambo ni la self-defence? Akili zenu Wat.z mnazijua wenyewe. Sasa information niliyokusanya hutaki?
 
Kama kweli mnajiamini mnajeshi kubwa east Africa semeni tena mlima Kilimanjaro ni mali yenu muone.
Mlima kilimanjaro ni mali yetu, bwege ww. Utafanya nini, leta batalion Kenya uone mkifanywa saw-dust
 
Maiti nyingi hazikupatikana kutokana na MILIPUKO ilivyokua mikubwa, kuna vipate vya vya nyama vya wanaheshi wa KDF vilipatikana umbali wa meter 800, miili haikupatikana, mlitaka mzike nini?. Hivi kwanini GoK ilikataa kutoa idadi kamili?
Hivi kwa nini familia 250 hazijaitisha miili ya wapendwa wao?
 
Mlima kilimanjaro ni mali yetu, bwege ww. Utafanya nini, leta batalion Kenya uone mkifanywa saw-dust
Tangazeni sasa kuwa ni mali yenu !!!

Muulizeni malawi alivyo fyata mkia wake kwenye ziwa nyasa,
 
joto la jiwe mbna hasira...mili isipopatikana ndio huaga hakuna hta maombelezi...bwahaaha...wenginne huzika hta mikungu ya ndizi....

na nmeona umeleta mf
 
eti ywatoa mfano na ethiopian airline eti mili ilichomeka mpka jivu ...alisahau ya kwamba familia zao walijitokeza na kuomboleza..sasa muulize ni familia gani eti wampoteze mpendwa wao na eti wakae kimya hta wasiomboleze kisa serikali
 
naona mnahaha sana..eti kdf wanakataa kwenda somalia..nina mwanangu kaenda somalia mara mara mbili...alafu mbna yuko poa2..ukimuuliza utarudi ywadaisha freshy....

dongo langu ally b...my class mate...wanawanyorosha sana...mpka sai wameogopa ku attack wanateka tu
 
Wewe wacha kubadilisha gear hewani. Mara unasema KDF haijafanya contribution yoyote Somalia. Ninalog off from JF for two hours ndio nifanye research kwa internet, ninarudi online kukupa uhondo, ninashangaa kupata kwamba umebadilisha goal post. Sasa hutaki kujua contributions za Kenya Somalia, unataka kujua kama wametunukiwa na U.N ama A.U. Sasa mbona kigeugeu namna hii? Kwa hivyo kama Kenya hawajatunukiwa hio ni kumaanisha hawajafanya lolote Somalia? Kwani ni lazima mtu atunukiwe anapofanya jambo hata kama hilo jambo ni la self-defence? Akili zenu Wat.z mnazijua wenyewe. Sasa information niliyokusanya hutaki?
Nani aliyekaa na kulinganisha kazi zilizpfanywa na nchi zilizopo Somalia, mwisho Kenya ikaonekana kwamba ndio iliyofanya kazi kubwa kuliko nchi zingine.

Acha kupiga chenga na kukimbia mjadala, nchi zote zilizopo Somalia zimefanya kazi kwa kadri ya ilivyotakikana, ninyi wakenya kutaka kujifanya ndio zaidi kuliko wengine katika kila kitu ndio kinafanya nchi zingine ziwachukie.

Tafadhali tuambieni kwa ushahidi " Nani aliyesema kwamba Kenya ndio iliyofanya kazi kubwa Somalia kuliko nchi zingine
 
Back
Top Bottom