Wakenya : Mlituwekea kauzibe, Leo Mmesahau?

joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
15,613
2,000
Rt.Julius Karangi si ndo alikua kiongozi wa KDF........ yeye ndo former CDF... yani mkuu wa majeshi yote ya Kenya..... Hio tuzo aliopewa ni kwa niaba ya KDF yote....... Tanzania ikifanya vizuri ni JPM ndo ataewa tuzo kama mwakilishi wa watanzania wote.... Same hing ndo ilifanyika CDF ndo alituzwa kwa kazi nzuri iliofanywa na wanajeshi wake!The Chief of Defence Forces (CDF) is the highest-ranking military officer in the Kenya Defence Forces and the principal military adviser to the President of Kenyaand the National Security Council. The CDF outranks all respective heads of each service branch and has operational command authority over the service branches. He leads the meetings and coordinates the efforts of the Service Commander, comprising the CDF, the Commander of the Kenya Army and Kenya Air Force, Kenya Navy and the Commandant of Military Intelligence. The CDF has offices in Ulinzi House. Following the 2010 Constitution, the Chief of the General Staff was replaced with the Chief of the Defence Forces.
The office is considered very important and highly prestigious, because the CDF as a body has command authority over the Armed Forces. The chain of commandis from the President (as the Commander in Chief), directly to the CDF. The CDF, as a Principal Adviser, does have authority over personnel assignments and oversight over resources and personnel allocated to the commands within the respective services. The Chairman may also transmit communications to the service commanders from the President. He also performs all other functions as assigned from time to time by the President. The CDF may also allocate those duties and responsibilities to other officers under his name.
Hahahahaha acha kudanganyana, hiyo Csrtifiacte imeandikwa jina lake na atakwenda nayo NYUMBA, hiyo ni personal. JWTZ ilipowashinda M23 kule Congo, wanajeshi wote walipewa certificate na nishani (Medals) toka kwa UN, kwanini asipewe kiongozi wao pekee?, kwanini hao POLISI wa Kenya huko Somalia ambao wamekuwa recognized kiongozi wao hakupewa yeye pekee kwa jina lake?, wacha Maneno hayo, Better hiyo Certificate ingeandikwa KDF sio jina la MTU. KDF performs poorly in Somalia that's why nobody recognizes them.
 
joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
15,613
2,000
Rt.Julius Karangi si ndo alikua kiongozi wa KDF........ yeye ndo former CDF... yani mkuu wa majeshi yote ya Kenya..... Hio tuzo aliopewa ni kwa niaba ya KDF yote....... Tanzania ikifanya vizuri ni JPM ndo ataewa tuzo kama mwakilishi wa watanzania wote.... Same hing ndo ilifanyika CDF ndo alituzwa kwa kazi nzuri iliofanywa na wanajeshi wake!The Chief of Defence Forces (CDF) is the highest-ranking military officer in the Kenya Defence Forces and the principal military adviser to the President of Kenyaand the National Security Council. The CDF outranks all respective heads of each service branch and has operational command authority over the service branches. He leads the meetings and coordinates the efforts of the Service Commander, comprising the CDF, the Commander of the Kenya Army and Kenya Air Force, Kenya Navy and the Commandant of Military Intelligence. The CDF has offices in Ulinzi House. Following the 2010 Constitution, the Chief of the General Staff was replaced with the Chief of the Defence Forces.
The office is considered very important and highly prestigious, because the CDF as a body has command authority over the Armed Forces. The chain of commandis from the President (as the Commander in Chief), directly to the CDF. The CDF, as a Principal Adviser, does have authority over personnel assignments and oversight over resources and personnel allocated to the commands within the respective services. The Chairman may also transmit communications to the service commanders from the President. He also performs all other functions as assigned from time to time by the President. The CDF may also allocate those duties and responsibilities to other officers under his name.
Actually Uganda solders are the ones who are doing very good jobs in Somalia than any other army, that's why UPDF was recognized officially and were given medals each of them, acheni kujikweza ninyi wakenya, hakuna mganda anayesema kwamba wao ndio waliofanya kazi kubwa, hivi ninyi wakenya mnamatatizo gani?
 
Kevin85ify

JF-Expert Member
Apr 6, 2019
1,985
2,000
Hahaha giant ? a giant who fails to feed her own people ? Youbare pne of the kind on the earth
even america has a problem with malnutrition, china has a huge poverty problem, does that mean they are not superpowers and giants in the world?
 
luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
1,815
2,000
Actually Uganda solders are the ones who are doing very good jobs in Somalia than any other army, that's why UPDF was recognized officially and were given medals each of them, acheni kujikweza ninyi wakenya, hakuna mganda anayesema kwamba wao ndio waliofanya kazi kubwa, hivi ninyi wakenya mnamatatizo gani?
Ilo halina ubishi kbs ndugu yangu UPDF ndio walikomboa mji wa mogadishu na ndio ilikuwa battle kubwa kuukomboa huo mji na vita yake ilikuwa sio ya kupigana porini ni mjini kukomboa majengo marefu ambapo al shabaab walikuwa wamejicha
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom