Wakenya : Mlituwekea kauzibe, Leo Mmesahau?

Chamoto

JF-Expert Member
Dec 7, 2007
5,523
2,000
Leo nikiwa nimepumzika nikaamua kuingia JF kusoma mada mbalimbali na moja ya mada zilizonishangaza ni ile ya ujenzi wa bwawa la umeme mto mara. Nimeshangaa jinsi Wakenya wanavyo jitutumua kwa nini wajenge bwawa huku wakitulalamikia sisi kutotaka wao kujenga. Moja ya hoja ya msingi iliyoelezwa na wadau ni ile ya kuharibu mazingira, kutokana na ecosystem ya Serengeti kutegemea mto mara.

Tukirudi nyuma, miaka michache iliyopita watu wa mkoa wa mara walitaka kujengewa barabara kuelekea Musoma kupitia mbuga ya Serengeti, kupunguza umbali wa safari ukilinganisha na huu ya sasa. Wakenya walipiga kelele sana, wakizunguka dunia nzima kupinga hiyo barabara isijengwe kwasababu za kimazingira ikiwa ni pamoja na kusumbua wanyama ambao huenda hadi Kenya.

>>> Wakenya waanza kulialia baada ya tanzania kuthibitisha kuanza ujenzi wa barabara kupitia serengeti
>>> Nyie kenya ujenzi wa barabara mbuga ya serengeti nini tatizo

Cha kushangaza leo wameanzisha mpango wa kujenga bwawa la kuzalisha umeme mto Mara na Tanzania imekuwa ikipinga kuwa bwawa hilo litaharibu ecosystem ya serengeti. Sasa kama mlipinga barabara yetu kujengwa kwasababu ya mazingira inakuwaje leo msiwe rafiki wa hayo mazingira kwa kujenga bwawa mbugani?
 
natoka hapa

JF-Expert Member
Feb 28, 2014
8,295
2,000
Leo nikiwa nimepumzika nikaamua kuingia JF kusoma mada mbalimbali na moja ya mada hizo zilizonishangaza ni ile ya ujenzi wa bwawa la umeme mto mara. Nimeshangaa jinsi Wakenya wanavyo jitutumua kwa nini wajenge bwawa huku wakitulalamikia sisi Watanzania kutotaka wao kujenga. Moja ya hoja ya msingi iliyoelezwa na wadau ni ile ya kuharibu mazingira, kutokana na echosystem ya Serengeti kutegemea mto mara.

Tukirudi nyuma, miaka michache iliyopita watu wa mkoa wa mara walitaka kujengewa barabara kuelekea Musoma kupitia mbuga ya Serengeti, kupunguza umbali wa safari ukilinganisha na hii ya sasa. Wakenya walipiga kelele sana, wakizunguka dunia nzima kupinga hiyo barabara isijengwe kwasababu za kimazingira ikiwa ni pamoja na kusumbua wanyama ambao huenda hadi Kenya.

Cha kushangaza leo wameanzisha mpango wa kujenga bwawa la kuzalisha umeme mto Mara na Tanzania imekuwa ikipinga kuwa bwawa hilo litaharibu ecosystem ya serengeti. Sasa kama mlipinga barabara yetu kujengwa kwasababu ya mazingira inakuwaje leo msiwe rafiki wa hayo mazingira kwa kujenga bwawa mbugani?
Nyang'au umewasahau mkuu
 
Janerose mzalendo

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
3,951
2,000
Leo nikiwa nimepumzika nikaamua kuingia JF kusoma mada mbalimbali na moja ya mada hizo zilizonishangaza ni ile ya ujenzi wa bwawa la umeme mto mara. Nimeshangaa jinsi Wakenya wanavyo jitutumua kwa nini wajenge bwawa huku wakitulalamikia sisi kutotaka wao kujenga. Moja ya hoja ya msingi iliyoelezwa na wadau ni ile ya kuharibu mazingira, kutokana na echosystem ya Serengeti kutegemea mto mara.
Tukirudi nyuma, miaka michache iliyopita watu wa mkoa wa mara walitaka kujengewa barabara kuelekea Musoma kupitia mbuga ya Serengeti, kupunguza umbali wa safari ukilinganisha na hii ya sasa. Wakenya walipiga kelele sana, wakizunguka dunia nzima kupinga hiyo barabara isijengwe kwasababu za kimazingira ikiwa ni pamoja na kusumbua wanyama ambao huenda hadi Kenya.
Cha kushangaza leo wameanzisha mpango wa kujenga bwawa la kuzalisha umeme mto Mara na Tanzania imekuwa ikipinga kuwa bwawa hilo litaharibu ecosystem ya serengeti. Sasa kama mlipinga barabara yetu kujengwa kwasababu ya mazingira inakuwaje leo msiwe rafiki wa hayo mazingira kwa kujenga bwawa mbugani?
Nyie mlionywa dhidi ya kujenga struggling GORGE mkawa wakaidi.
Kila MTU afanye yake bila kusumbuliwa
 
Teargass

JF-Expert Member
Apr 23, 2018
11,323
2,000
Because we are the giant of the region and we do whatever we want.
Leo nikiwa nimepumzika nikaamua kuingia JF kusoma mada mbalimbali na moja ya mada hizo zilizonishangaza ni ile ya ujenzi wa bwawa la umeme mto mara. Nimeshangaa jinsi Wakenya wanavyo jitutumua kwa nini wajenge bwawa huku wakitulalamikia sisi kutotaka wao kujenga. Moja ya hoja ya msingi iliyoelezwa na wadau ni ile ya kuharibu mazingira, kutokana na ecosystem ya Serengeti kutegemea mto mara.

Tukirudi nyuma, miaka michache iliyopita watu wa mkoa wa mara walitaka kujengewa barabara kuelekea Musoma kupitia mbuga ya Serengeti, kupunguza umbali wa safari ukilinganisha na hii ya sasa. Wakenya walipiga kelele sana, wakizunguka dunia nzima kupinga hiyo barabara isijengwe kwasababu za kimazingira ikiwa ni pamoja na kusumbua wanyama ambao huenda hadi Kenya.

Cha kushangaza leo wameanzisha mpango wa kujenga bwawa la kuzalisha umeme mto Mara na Tanzania imekuwa ikipinga kuwa bwawa hilo litaharibu ecosystem ya serengeti. Sasa kama mlipinga barabara yetu kujengwa kwasababu ya mazingira inakuwaje leo msiwe rafiki wa hayo mazingira kwa kujenga bwawa mbugani?
 
MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
18,387
2,000
Serikali ya Kenya haijawahi kulalamika kuhusu ujenzi wa barabara Serengeti, Kenya kama nchi haijawahi kuwa na tatizo kwa hilo, waliokua wanalalamika ni asasi za kijamii.
Lakini hili la sasa serikali ya Tanzania ndio inalialia.
Binafsi siungi mkono ujenzi wa hili bwawa bila ya tathmini zote za kimazingira kufanywa, Watanzania wasitupe tabu, cha msingi tujali vizazi vyetu vya kesho na tunawaachia nchi ikiwa vipi.
 
mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
15,623
2,000
That's why you are crying for help from other states. You have realised that you can't confront Kenya head on.
Yaani kunya ni ya kuiombea msaada sehemu nyingine,kitendo tu cha kutamka tunaendelea na ujenzi wa barabara, wakenya kadhaa wanalazwa hispital.
 
LightYagami

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
2,774
2,000
Leo nikiwa nimepumzika nikaamua kuingia JF kusoma mada mbalimbali na moja ya mada hizo zilizonishangaza ni ile ya ujenzi wa bwawa la umeme mto mara. Nimeshangaa jinsi Wakenya wanavyo jitutumua kwa nini wajenge bwawa huku wakitulalamikia sisi kutotaka wao kujenga. Moja ya hoja ya msingi iliyoelezwa na wadau ni ile ya kuharibu mazingira, kutokana na ecosystem ya Serengeti kutegemea mto mara.

Tukirudi nyuma, miaka michache iliyopita watu wa mkoa wa mara walitaka kujengewa barabara kuelekea Musoma kupitia mbuga ya Serengeti, kupunguza umbali wa safari ukilinganisha na hii ya sasa. Wakenya walipiga kelele sana, wakizunguka dunia nzima kupinga hiyo barabara isijengwe kwasababu za kimazingira ikiwa ni pamoja na kusumbua wanyama ambao huenda hadi Kenya.

>>> Wakenya waanza kulialia baada ya tanzania kuthibitisha kuanza ujenzi wa barabara kupitia serengeti
>>> Nyie kenya ujenzi wa barabara mbuga ya serengeti nini tatizo

Cha kushangaza leo wameanzisha mpango wa kujenga bwawa la kuzalisha umeme mto Mara na Tanzania imekuwa ikipinga kuwa bwawa hilo litaharibu ecosystem ya serengeti. Sasa kama mlipinga barabara yetu kujengwa kwasababu ya mazingira inakuwaje leo msiwe rafiki wa hayo mazingira kwa kujenga bwawa mbugani?
Ni mkenya mmoja alipiga kelele, Richard Leakey.
 
Top Bottom