Wakenya hawajui Magufuli naona!

Wakenya hawajui Magufuli naona!

Utendaji wa Raisi Magufuli unaharibiwa na chuki na ukandamizaji mkubwa wa demokrasia kuanzia bungeni, media, mpaka kwa raia. Ngoja tuone mwisho wake. Sijui kama hayo ndo mageuzi alohubiri wakati wa kampeni

Serikali hii imejaa visasi tu hakuna kingine
 
Hao Wakenya ya kwao yamewashinda wanakuja na Tz washughulike na ukabila wao kwanza.

Mwnykt CCM JF

Wizara ya mambo ya nchi za nje iombe maelezo toka balozi wa kenya.Na imwandikie kulaani hicho kitendo cha hilo gazeti kutudhalilishia Raisi wetu.Wakati waziri wa habari na utangazaji alifungie kukanyaga Tanzania
 
Uzalendo huanzia nyumbani, kwanini mnashabikia vyombo vya nje vinavyomkebehi rais wetu ? Hii tabia kamwe haivumiliki na inakera. Rais ni wetu hata kama ni vipi acha sisi wenyewe tukosoane, na sio kushabikia watu wa nje, punguzeni ujuha

hao hao wakenya walipokuwa wanamsifia na kujiita magufuli lumumba mlitokwa na mapovu kwa kushangilia,ukishangiliwa sana jukwaani basi jiandae na kuzomewa jukwaani ndio kawaida hiyo
 
Dawa hapa ni Waziri Mwenye dhamana kulifungia hilo gazeti pia.... wamezidi.
 
Wizara ya mambo ya nchi za nje iombe maelezo toka balozi wa kenya.Na imwandikie kulaani hicho kitendo cha hilo gazeti kutudhalilishia Raisi wetu.Wakati waziri wa habari na utangazaji alifungie kukanyaga Tanzania
Mtalaani hadi mtajilaani wenyewe ila huu ukweli wa ukandamizwaji wa demokrasia na habari ni lazima dunia ijue.
Nyie mmeoza lazima mnuke tu hata mkipaka uturi.
 
Uzalendo huanzia nyumbani, kwanini mnashabikia vyombo vya nje vinavyomkebehi rais wetu ? Hii tabia kamwe haivumiliki na inakera. Rais ni wetu hata kama ni vipi acha sisi wenyewe tukosoane, na sio kushabikia watu wa nje, punguzeni ujuha
Wanaoshabikia wote wakamatwe popote walipo by IGP hahaha
 
Back
Top Bottom