Gut
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 2,852
- 3,404
Kwani hiyo cartoon ni uongo.Mnajificha kwenye uzalendo feki.Uzalendo huanzia nyumbani, kwanini mnashabikia vyombo vya nje vinavyomkebehi rais wetu ? Hii tabia kamwe haivumiliki na inakera. Rais ni wetu hata kama ni vipi acha sisi wenyewe tukosoane, na sio kushabikia watu wa nje, punguzeni ujuha