Wakenya hawajui Magufuli naona!

Wakenya hawajui Magufuli naona!

Huu ni ushabiki maandazi Magufuli anafanya kazi na wao washaona soon tunawapiga bao hzo ni propaganda chafu na wanajua mwaka huu Uchumi wetu utakua uko stable zaidi kuliko wao.
Kwa huo uchumi wa police wa usalama barabarani brother,wa kibabe ???
 
Waistusumbue. Waache waendelee kubaguana huko kwao. Hawana Lolote kwa Tanzania. After all wanam admire JPM. Juzi tu kulizaliwa kawaziri fulani huko kakajiita kanataka kufanya kimagufuli zaidi kameishiwa pumzi siku yapli kameenda kula rushwa. Forget this nonesence UKUTA, piga kazi. mataifa yote yaliyoko juu leo (URUSI, CHINA, MAREKANI, UINGEREZA, na kwingineko kwingi wafligukia chini demokrasia walipotoka ndo wanajifanya waalimu wa demokrasia. NONsence
 
Birds have come home to roost, Zanzibar union injustice is common place. Tumezoea until time sets humble Zanzibaris free.
 
Mh. MAGU nichaguo la wa Tanzania.
Kaleta heshima Kwa watu kipato cha chini na wasiojiweza
Maskini + tajiri= ngoma droo.
 
Back
Top Bottom