Hii avatar iko toka kitambo ww umeiona leo iatkuaNaona umechukua avatar ya Malyamungu wa Magu
Wizara ya mambo ya nchi za nje iombe maelezo toka balozi wa kenya.Na imwandikie kulaani hicho kitendo cha hilo gazeti kutudhalilishia Raisi wetu.Wakati waziri wa habari na utangazaji alifungie kukanyaga Tanzania
Alafu chuki na uongozi ni vitu viwili haviendani pamoja kabisa kabisa......Serikali hii imejaa visasi tu hakuna kingine
kazi ya kufungia vyombo vya habari kweli tunaiona.Mtapata tu akili safari hii HAPA KAZI TU
kweli mkuu. nina zaidi ya miaka 5 sijanunua hard copy ya gazette. kila kitu tunamalizana online.Mkuu watu wanasoma magazeti online siku hizi.
Mimi nashangaa watu wanavyoshabikia vyombo vinavyotaka kuleta chuki. kwahyo mnataka wavichekee halaf vurugu zikitokea mseme wameshindwa kuongoza nchikwa lugha nyepesi maamuzi ya Nape Nnauye yameonyesha sura halisi ya Magufuli.
Subutu!Huu ni ushabiki maandazi Magufuli anafanya kazi na wao washaona soon tunawapiga bao hzo ni propaganda chafu na wanajua mwaka huu Uchumi wetu utakua uko stable zaidi kuliko wao.
Safari hii hampumui na kodi mmeanza kulipa vizuri. Vyombo vyote vya habari vya hovyo hovyo vinavyoleta chuki vitapigwa ban tu.kazi ya kufungia vyombo vya habari kweli tunaiona.
Katika DAILY NATION ya leo huko Kenya
View attachment 390791
Shida ya hichi chama, ukiwa kada wake tu lazima uwe na uwezo mdogo wa kufikiri, mpuuzi na mjinga Mjinga. Sasa ona kama huyu mawazo ya kijinga na kipuuzi. Huyu Napee wenu atafungia magazeti mangapi? Kwani hii ni serikali tukufu kiasi gani isikoselewe? Tumieni akili sio matumbo yenu na njaa pumbavu.Hili gazeti lifungiwe kusambazwa Tanzania.Katika hicho kibonzo wameonyesha jina kabisa la Magufuli ni wazi.Lifungieni copy yake isije onekana Tanzania hata moja
Nape amekusikia alivyo mkurupukaji atazingatia, ayafungie yote ya nje tubaki na magazeti yetu pendwa ya Mzalendo na Uhuru.Hili gazeti lifungiwe kusambazwa Tanzania.Katika hicho kibonzo wameonyesha jina kabisa la Magufuli ni wazi.Lifungieni copy yake isije onekana Tanzania hata moja
Hhhhaa uzalendo kazi sana kama hata kucheka usalitiUzalendo huanzia nyumbani, kwanini mnashabikia vyombo vya nje vinavyomkebehi rais wetu ? Hii tabia kamwe haivumiliki na inakera. Rais ni wetu hata kama ni vipi acha sisi wenyewe tukosoane, na sio kushabikia watu wa nje, punguzeni ujuha
Hahaha mbuni kafukia kichwa chini akifikiri haonekani.
Point hawa wanapenda mazuri tu.hao hao wakenya walipokuwa wanamsifia na kujiita magufuli lumumba mlitokwa na mapovu kwa kushangilia,ukishangiliwa sana jukwaani basi jiandae na kuzomewa jukwaani ndio kawaida hiyo
Mbona hamkuita ushabiki walivomsifuHuu ni ushabiki maandazi Magufuli anafanya kazi na wao washaona soon tunawapiga bao hzo ni propaganda chafu na wanajua mwaka huu Uchumi wetu utakua uko stable zaidi kuliko wao.
Hakuna chombo kinachoeneza chuki, bali serikali yenu ndio chanzo cha hiyo chuki. Nyie mnataka kusifiwa tu hata katika Ujinga na upuuzi wenu. Wote sio makada wenye njaa kama wew uliye jindoa ufahamu na kubaki kusifia tu kama hamna nazo vile.Mimi nashangaa watu wanavyoshabikia vyombo vinavyotaka kuleta chuki. kwahyo mnataka wavichekee halaf vurugu zikitokea mseme wameshindwa kuongoza nchi
Huna akili, unafikiri kwa kutumia njaa.Safari hii hampumui na kodi mmeanza kulipa vizuri. Vyombo vyote vya habari vya hovyo hovyo vinavyoleta chuki vitapigwa ban tu.