Katika DAILY NATION ya leo huko Kenya
View attachment 390791
punguza mapovu wewe.Hili gazeti lifungiwe kusambazwa Tanzania.Katika hicho kibonzo wameonyesha jina kabisa la Magufuli ni wazi.Lifungieni copy yake isije onekana Tanzania hata moja
Tulia dawa ikuingie.Hao Wakenya ya kwao yamewashinda wanakuja na Tz washughulike na ukabila wao kwanza.
Mwnykt CCM JF
Thubutu Kenya si Tanzania wanajitambuwa hao.Nape anatamani akalifungie hilo gazeti
Mkuu watu wanasoma magazeti online siku hizi.Hili gazeti lifungiwe kusambazwa Tanzania.Katika hicho kibonzo wameonyesha jina kabisa la Magufuli ni wazi.Lifungieni copy yake isije onekana Tanzania hata moja