Nyie BAVICHA ndo mnakazana sana kusema serikali inaeneza chuki.Uku kitaa watu wanaipenda serikali ile mbaya hasa hili chama kubwa sahiz angaliwe mtu usoni ni KAZI TU. Nyie ndo mnajitoa ufahamu hamuelewekiHakuna chombo kinachoeneza chuki, bali serikali yenu ndio chanzo cha hiyo chuki. Nyie mnataka kusifiwa tu hata katika Ujinga na upuuzi wenu. Wote sio makada wenye njaa kama wew uliye jindoa ufahamu na kubaki kusifia tu kama hamna nazo vile.
Umenena vema mkuu!Huwezi kuacha kuzungumzia jambo ambalo linawagusa jirani zako, watu wengi wanadhani Magufuli akiharibu au akiboresha nchi yetu, wanao athirika au kunufaika ni Watanzania peke yao, hapana!! inawagusa watu wengi ukanda mzima wa EA utaguswa kwa namna moja au nyingine, wewe unadhani Kesho Tarehe1 Sept2016 Mvututano wa Polisi na wananchi wanaodai utawala wa kisheria yakitokea mauaji Kenya haitawagusa? Uganda haitawagusa? Ndiyo maana yale yanayoendelea Burundi huwa yana madhara hata kwetu hasa changamoto zitokanazo na wakimbizi, jifunze kufikiria mbali kidogo.
Acha kulialia utulie najua yamekufika hii spidi sio ya kitoto.Hapa JF ndo mnakopumulia.Huna akili, unafikiri kwa kutumia njaa.
Au anadhani serikali kushindwa kutengeneza madawati mpaka wachangishe kwa nguvu ndio kukuwa uchumi.ukifungia radio ndiyo uchumi unakua??
Hili gazeti lifungiwe kusambazwa Tanzania.Katika hicho kibonzo wameonyesha jina kabisa la Magufuli ni wazi.Lifungieni copy yake isije onekana Tanzania hata moja
ukimchapa mwanao akilia kwa nguvu majirani si wanasikia!Uzalendo huanzia nyumbani, kwanini mnashabikia vyombo vya nje vinavyomkebehi rais wetu ? Hii tabia kamwe haivumiliki na inakera. Rais ni wetu hata kama ni vipi acha sisi wenyewe tukosoane, na sio kushabikia watu wa nje, punguzeni ujuha
Kura yako kwa Hon.EL inaweza kuibwa, lakini upendo wako kwa EL na spirit ya mabadiliko uliyonayo kamwe havitaibwa! big up kamanda.Si jutii Kura yangu Kwa Lowassa
BRAVO BRO! Umeongea point muhimu sana.90% ya member wa chama tawala ni vi.laza, uwezo wa kufikiri ni mdogo....hiyo 10% ndio wenye akili za kulangua fikra za hao vi.laza.....mtu menye akili kamwe hawezi kuambatana nao.Shida ya hichi chama, ukiwa kada wake tu lazima uwe na uwezo mdogo wa kufikiri, mpuuzi na mjinga Mjinga. Sasa ona kama huyu mawazo ya kijinga na kipuuzi. Huyu Napee wenu atafungia magazeti mangapi? Kwani hii ni serikali tukufu kiasi gani isikoselewe? Tumieni akili sio matumbo yenu na njaa pumbavu.
Lisije tu, kingereza hamjui sasa mtalisoma vipi?Hili gazeti lifungiwe kusambazwa Tanzania.Katika hicho kibonzo wameonyesha jina kabisa la Magufuli ni wazi.Lifungieni copy yake isije onekana Tanzania hata moja
Kama mnaweza fungueni na ubalozi wa kenya tz.Wizara ya mambo ya nchi za nje iombe maelezo toka balozi wa kenya.Na imwandikie kulaani hicho kitendo cha hilo gazeti kutudhalilishia Raisi wetu.Wakati waziri wa habari na utangazaji alifungie kukanyaga Tanzania
Imekuchoma? huo ndio muonekano wake kwa sasawashughulike na ya kwao ya Tanzania watuachie wenyewe
Achana nae huyo uchumi upi anaosema au huu wa mshahara tarehe 39ukifungia radio ndiyo uchumi unakua??
Kama baba mwenyewe ananiita kilaza, hashauriki, kila siku akiamka anakurupuka na tamko jipya, vipaumbela vyake havijulikan na vinavyojulikana havitekelezeki na vinavyotekelezwa sio vipaumbele, wacha majiran wanisaidie kumkashifu maana hakuna namna, OVER!Kwa maana nyingine wewe una shabikia rais wako kukashfiwa na raia wa nchi nyingine ? Hata kama baba yako ana mapungufu, wewe utashabikia unaposikia jirani yako wana mkashifu ?