nanjilinji
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 1,206
- 566
Kwenye RED, ni vyema na haki ukajua umuhimu wa kuedeleza majadiliano. Hivi fikiria unafungua siku moja JF na usikute mtu hata mmoja ameandika chochote utajisikiaje? Je, utafungua pia JF? Hivyo mtu yeyote anayefungua huu mtandao jua anafurahia maoni yako, ya yule na yangu pia. Bila kuchangia hakuna mtandao. Kwa umri wangu mdogo nilio nao, nikijaribu kupembua kuna watu wa JF ambao wanatunga hadithi, wengine kuna aina fulani ya uhalisia. Niishie hapa katika majadiliano yetu kwa kuwapongeza wewe na FP kwa uhalisia.kwani hapa kuna mashindano ya hoja.
anyway, ningekuwa wewe nisingejibu.
unajua i dont get a point as to why people here quote me or reply to me.
jamani punguzeni jazba, mwenzenu najipa raha tu nicheke then niende zangu home.Nyie mmekazana na mambo ya ndoa!
ah poleni