Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
tena unaenda kutengeneza double double, lol!tatizo alitatuliwi kwa kulikimbia......sanasana utatengeneza lingine tu...
tena unaenda kutengeneza double double, lol!tatizo alitatuliwi kwa kulikimbia......sanasana utatengeneza lingine tu...
ushauri wangu kwako ukioa usitoke nje ya ndoa, no matter what.....Swadakta ila wengine kama Ayanda wanahulka za kulipiza kisasi ati kwa vile wewe umefanya na mie nifanye ili kulipiza. Ingawa sijafikia umri wa kuoa ila haya nayaona mwisho UKIMWI
tunapenda tu kutoka kama waume zetu.
ha ha ha ha ha kweli he is smarter kama anachukua mwanamke anayajitambua.
my dear, kwani nani kakwambia jamaa anajua natumia JF!
na huyo mumeo atamjuaje mtu wake 100%.
my dear hata huyu mume wangu mjinga ukimwambia ninatoka nje, hataamini maana anajua eti siwezi eti nampenda sanaa kumbe wapi.
kwahiyo mumie jamaa anaweza kuwa mumeo kama kawa tu.
chezeya binadamu weye! huwezi kumjua 100%
ha haaa, kama huyo uliye naye ni mume wangu, basi he is dumb...........
how can he date someone who is proud of having kidumu?
C'mon, he can do better than that
inakuwa balaa juu ya balaaatena unaenda kutengeneza double double, lol!
Tofauti yako na Ayanda ni moja kuwa wewe ni mke wa kuolewa. Lakini Ayanda anaonekana ni mke wa kuoa. Mke wa kuolewa utamwona jinsi anavyofikiri na jinsi alivyotulia. Kila wakati atamlinda mumewe na familia yake kwa ujumla. Mke kama wewe utafurahi mume wako akijenga kwao n.k. Lakina wake kama Ayanda ndo tunaoita DOT COM ambao ni fanya na mimi nifanye. Ukiamua kujenga kwenu kasheshe ile mbaya naye atakuibia hela ajenge kwao. Ukiamua kujenga kwao roho kwatu wala hutasikia neno. Akija mama ya mume hapakaliki ila akija mama yake, pale ni kwao. Nyumbani kwao lazima ndugu wa mke tu ndio wenye uhalali wa kuishi pale si upande wa mume. Hata akiwa na tetesi kuwa mumewe ana small house, basi haraka naye anataka kuwa na kidumu. Hivi unajua kuwa me anatoa na ke anapokea (utajaza sampuli ngapi mwilini kwa kushindana na mtoaji?) Je, unajua kuwa kansa ya kizazi inatokana na sampuli kuwa nyingi mwilini mwa ke? Hivyo upewe sifa FPushauri wangu kwako ukioa usitoke nje ya ndoa, no matter what.....
unaweza pata mke kama ayanda akakulipizia kisasi, lol!
Tofauti yako na Ayanda ni moja kuwa wewe ni mke wa kuolewa. Lakini Ayanda anaonekana ni mke wa kuoa. Mke wa kuolewa utamwona jinsi anavyofikiri na jinsi alivyotulia. Kila wakati atamlinda mumewe na familia yake kwa ujumla. Mke kama wewe utafurahi mume wako akijenga kwao n.k. Lakina wake kama Ayanda ndo tunaoita DOT COM ambao ni fanya na mimi nifanye. Ukiamua kujenga kwenu kasheshe ile mbaya naye atakuibia hela ajenge kwao. Ukiamua kujenga kwao roho kwatu wala hutasikia neno. Akija mama ya mume hapakaliki ila akija mama yake, pale ni kwao. Nyumbani kwao lazima ndugu wa mke tu ndio wenye uhalali wa kuishi pale si upande wa mume. Hata akiwa na tetesi kuwa mumewe ana small house, basi haraka naye anataka kuwa na kidumu. Hivi unajua kuwa me anatoa na ke anapokea (utajaza sampuli ngapi mwilini kwa kushindana na mtoaji?) Je, unajua kuwa kansa ya kizazi inatokana na sampuli kuwa nyingi mwilini mwa ke? Hivyo upewe sifa FP
Nadhani waume za watu ni zaidi.Ni kwanini wake za watu ni wepesi xana kushawishiwa kimapenzi? Pia hutoka xana nje ya ndoa hii inatia hasira xana je wadogo zetu kwa njia hz wataoa na kuolewa? Mh! Inatisha lakini ni lazima kuna sababu juu ya haya inaweza ikawa ni nn?
Nimefurahi sana katika RED. Unajua ukiomba ushauri ukajibiwa kasali, jua aliyeomba ushauri amefika mwisho. Ukijibizana na mtu kwa hoja akaanza kupandisha na kutusi jua kaishiwa hoja. Katika mashauri ya ndoa ukisikia kamwonue mchungaji au Padre au Imamu jua naye vile vile maana hata hao ni binadamu kama wewe na mimi. Aksante kwa kunipa heshima ya hapo RED ila Chocs ambaye ni mama ngina akaulizwe.ah we nawe senge tu,
nani kakwambia mi nina hizo sifa ulizotaja hapo sijui uchoyo n.k
na nani kakwambia nalipiza kisasi?
ah umeandika kwa urefuuuuuuuu utadhani unatafuta tuzo.
peace and love bana usijali
Nimefurahi sana katika RED. Unajua ukiomba ushauri ukajibiwa kasali, jua aliyeomba ushauri amefika mwisho. Ukijibizana na mtu kwa hoja akaanza kupandisha na kutusi jua kaishiwa hoja. Katika mashauri ya ndoa ukisikia kamwonue mchungaji au Padre au Imamu jua naye vile vile maana hata hao ni binadamu kama wewe na mimi. Aksante kwa kunipa heshima ya hapo RED ila Chocs ambaye ni mama ngina akaulizwe.