Wake za watu

Wake za watu

Ni kwanini wake za watu ni wepesi xana kushawishiwa kimapenzi? Pia hutoka xana nje ya ndoa hii inatia hasira xana je wadogo zetu kwa njia hz wataoa na kuolewa? Mh! Inatisha lakini ni lazima kuna sababu juu ya haya inaweza ikawa ni nn?


Kuna Lugha zingine nikiziona hasa kama zimeandikwa na mtu mwenye akili Timamu napata hasira ....
 
Aaah ayanda, kumbe yanaongeleka kabisa?! kama yeye ashaongea ni wewe tu kufanya maamuzi kama mnaanza upya or not. Looks like the ball is actually on your court, ni wewe tu kuamua uuchezeje.

yeah ur very right, the ball is on my court but not yet time to make any shoot.

nipo busy kidogo, hata yeye the ball was previously on his court but he delayed to make a move.

yani moyo bado sanaaaaaaa maana hata akinigusa tu napata picha ya jamaa au yeye na hawara yake.

ah maybe later not now though. Next time ajifunze kucheza mechi za nje na wastaarabu na kimyakimya
 
mkuu nadhani hii yako ulitumia case study approach!ni ngumu kufanyia generalization namna hiyo!!
 
Sio kweli wapo wake wanaojiheshimu sana na uwezi kuwaeleza upuuzi ukaenda nao sawa, inategemea huyo mke we mwenyewe ulimpata vipi na ulikutana naye wapi, kama ni vodafasta lazima umegewe.

Nimecheka sana....hii ni kweli. Nami nasema "Easy coming...easy going..."
 
kitu cha mwisho kabisa kukiwazia nikiwa na matatizo katika ndoa ni kutoka nje ya ndoa......
hapo yaani naona kuwa najikomoa mwenyewe.....
halafu hivi ukiwa na hasira unaweza kuwaza mapenzi? tena na mtu wa nje?
IKO HIVI:
Ukiwa na hasira ndo unaanza kumuwaza yule anaekusumbua sana ila unashindwa kumkubalia kwa sababu uko ktk ndoa.
siku hizi mwanamke hata kama yuko kwenye ndoa bado tu atatongozwa,na hiyo ndo ukamilifu wake,kukubali ni issue nyingine,bt wengi kila kukicha kuanzia makazini,njiani hutongozwa,sasa siamini wote wanaomtongoza ni wabaya kwake practically,theory ni kwamba "ameolewa yeye ni mke wa mtu"but wengi wanatongozwa wengine kistaarabu wengine sio kistaarabu mpaka watu hujua wengine ni kisiri sana sana and virse versa for Men.hivyo ukiwa umekasirika haikuzuii wewe kutongozwa na hatimae kutoka nje....hivi nani huwa anakasirika haraka kati ya mwanamke na mwanaume? nani huwa ni very delicate?
 
kwani hapa kuna mashindano ya hoja.

anyway, ningekuwa wewe nisingejibu.

unajua i dont get a point as to why people here quote me or reply to me.

jamani punguzeni jazba, mwenzenu najipa raha tu nicheke then niende zangu home.Nyie mmekazana na mambo ya ndoa!

ah poleni

huna kazi ya kufanya?njoo ntakupa lamia embe
 
ni kwanini wake za watu ni wepesi xana kushawishiwa kimapenzi? Pia hutoka xana nje ya ndoa hii inatia hasira xana je wadogo zetu kwa njia hz wataoa na kuolewa? Mh! Inatisha lakini ni lazima kuna sababu juu ya haya inaweza ikawa ni nn?

msingi ukiharibika mwenye haki atafanya nini! Hakikisha ndoa yako imesimama kwenye msingi imara, neno la mungu, yesu awe ktk yote myatendayo, myawazayo na myanenayo, hakika shetani atakuwa anawaonea gele tu na kamwe hatawakalibia.
 
We ayanda unaonekana ni Paka uliekubuhu katika umalaya na uliingia ktk ndoa kutoa nuksi tu. Mke wa kweli hawezi kuongea maneno kama haya.


ofkoz mke wa kweli haongei maneno ya kimalaya kama haya bali hufanya umalaya kivitendo kimyakimya kama mkeo.

kama mie niliingia kwenye ndoa kutoa nuksi, basi wake wengi wa watu pia waliingia kutoa nuksi.

nyie tukaneni hadi mchoke ukweli unabaki pale pale kwamba, siku hizi wake kwa waume wanatoka nje kwa ngoma draw.

shauri yenu.
 
kama humridhshi?hapati dudu atakaa bila kutoka kwan amekufa ganzi?
 
Mwana kwenye ndoa hakuna mapenzi ndoa ni heshima so km unafikiria kwny ndoa kuna mapenzi imekula kwako
 
Mke wa mtu akitembea nje anasema "she has a strong reason", mme akipuyanga anaambiwa " umalaya unamsumbua".
 
Mwanaume huna mapenzi huna utani hucheki na mkeo ni kununa mke hana uhuru na wewe anakuogopa humpi nafasi ya kuwa marafiki ukiwa home unaleta ubosi wako hutoki out na mkeo,mwanamke gani atavumilia ujinga huu watatoka sana tu hamjui kuwaenzi wanawake mnafikiri na watumwa wenu ndo mkome wanaume wenye tabia hizo subirini yesu arudi ayarekebishe.

teh!teh!... Yesu ni bwana angu, tena ni njia ya kweli ya uzima, furaha na amani, ukiwa na Yesu kamwe hutojutia uamuzi wako, hunifuta machozi niliapo, hunifariji wakati wa shida, hunishibisha nisikiapo njaa na hutembea na mimi kila mahali haniachi kamwe.

Hebu tembea na Yesu uone mafanikio yake... U'l never regret.

I love u my YESU.

cc: Ayanda, FP
 
Back
Top Bottom