Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
na ukishatuliza akili tu ugomvi ukaisha hutaweza kutoka nje tenani kweli ukiwa na hasira unaweza kupata hasara ni bora kutuliza akili ndo ujue utoke nje au ubaki ndani... ila Mungu nae anatakiwa kuhusishwa jamani