papaa2015
JF-Expert Member
- Jul 12, 2012
- 411
- 101
my dear ni kweli ni ngumu kutoka nyumba ikiwa na tension.
so kinachofanyika ni kwamba mtu hutulia kwa muda na kutafakari kwamba anachohangaikia ni nini hasa, then akiri ikishatulia anaona migogoro ni kama kilema tu kwa hiyo mtu atatoka nje bila hata hasira wala nini.
tena baada ya kutoka nje, hata migogoro inapungua ndani maana hamna tena maugomvi, kelele wala wivu wa kijinga.
mume aliye makini anaweza kugundua mapema.
kuna ka ukweli ndani yake