Wake za watu

Wake za watu

Ni kwanini wake za watu ni wepesi xana kushawishiwa kimapenzi? Pia hutoka xana nje ya ndoa hii inatia hasira xana je wadogo zetu kwa njia hz wataoa na kuolewa? Mh! Inatisha lakini ni lazima kuna sababu juu ya haya inaweza ikawa ni nn?

Humo kwenye red wewe bado unanuka maziwa ya mama, hujakua
 
Nje kuna mengi ambayo hayapatikani ndani. Ni nadra sana kufungwa goli zaidi ya moja ndani lakini nje hata tatu unapata. wanawake hupeana ushauri jinsi ya kumaliza hamu zao na ndio chanzo cha kutoka nje. wakianza hawaachi.
 
unaweza ukasema hivyo....
lakini itanisaidia nini kutoka nje ninapokuwa nina migogoro? huko nje nita-enjoy?
mimi naamini kwenye kufurahia mapenzi..... yaani nikiamua kutoka ni kwamba naamini huko naenda kupata raha na siyo naenda huko kwa sababu nyumbani kuna migogoro.
kwanza hata akili haitakuwa kwenye hayo mapenzi, ni chuki tu na kukomoa, sasa ya shida gani hayo?
Kuna mama mmoja hapa jirani yetu amekuwa anabadili sana mabinti wa kazi,
Kila akija binti hamalizi miezi sita anaondolewa.
Huyu mama anaishi na mumewe na wana watoto wadogo.
Kiumri anaoneka ni mkubwa kwa mumewe.
Ukimuona na mumewe ni watu wanaheshimika sana mtaani. Pesa sio tatizo kwao.
Siku moja mkewe kaja kuomba ushauri kwa wife, kwamba anampenda sana mumewe ila kinachomsumbua ni jinsi anavowagegeda mabinti wa kazi.
ameshamkamata zaidi ya mara moja akiwa chumbani kwa binti wa kazi.
Wife akamuuliza kwani hampi mumewe mpaka aende kwa mabinti wa kazi?
Yule mama akasema tatizo mumewe anataka mara kwa mara, na yeye hawezi, na wamekuwa wanagombana sana kuhusiana na suala hili.
Ila kilichomshitua yule mama ni pale mzee alipoacha kulalamika, kumbe alikuwa ameshapata ufumbuzi wa tatizo lake.
 
ndo maana nakuambia ni smart........ kama upo smart huwezi anza kutoka na mtu bila kumfahamu inside out
iwe anajua yupo jf au la hata kama atajitambulisha kwa fake id bado inatakiwa mtu smart kutambua kuwa aliyenaye hawezi akafanya hivyo. Mimi najua kila ambacho mume wangu yupo capable kukifanya, hata kama sitamzuia kukifanya lakini najua anaweza kufanya hiki, got my point?

ha ha ha jamani mume anaumajeeeeeeeee

yaani povu linakutoka maskini pole.

ombea awe anatembea na mimi maana waweza mkuta kainamishwa na jidume au kainamisha shoga.

usijali bana
 
ha ha ha jamani mume anaumajeeeeeeeee

yaani povu linakutoka maskini pole.

ombea awe anatembea na mimi maana waweza mkuta kainamishwa na jidume au kainamisha shoga.

usijali bana
ha haaa, nakurusha roho tu na wewe, lol!
siku nyingine ukitafuta mume, tafuta ambaye anaweza kukusitiri......
siyo janaume ambalo linaweza kukusms na kuruhusu janamke lake kukusms eti wanatoka guest, lol!
next time jipitishepitishe kwa smart guys, lol!
 
ha haaa, nakurusha roho tu na wewe, lol!
siku nyingine ukitafuta mume, tafuta ambaye anaweza kukusitiri......
siyo janaume ambalo linaweza kukusms na kuruhusu janamke lake kukusms eti wanatoka guest, lol!
next time jipitishepitishe kwa smart guys, lol!

ha ha ha sitafuti mume mamito wa kazi gani? mume ninaye home ananipa status yangu ya kuwa mke wa mtu.

smart guy ninae si mumeo

ha ha ha nakumbuka enzi hizo nilikua na mawazo kama yako best!

peace and love
 
ha ha ha sitafuti mume mamito wa kazi gani? mume ninaye home ananipa status yangu ya kuwa mke wa mtu.

smart guy ninae si mumeo

ha ha ha nakumbuka enzi hizo nilikua na mawazo kama yako best!

peace and love
ha haaa, kama huyo uliye naye ni mume wangu, basi he is dumb...........
how can he date someone who is proud of having kidumu?
C'mon, he can do better than that
 
Mwanaume huna mapenzi huna utani hucheki na mkeo ni kununa mke hana uhuru na wewe anakuogopa humpi nafasi ya kuwa marafiki ukiwa home unaleta ubosi wako hutoki out na mkeo,mwanamke gani atavumilia ujinga huu watatoka sana tu hamjui kuwaenzi wanawake mnafikiri na watumwa wenu ndo mkome wanaume wenye tabia hizo subirini yesu arudi ayarekebishe.
 
wenyewe humu m.m.u wanakataza mambo ya "xana"
 
sababu kubwa ni wanaume hawana nguvu za kiume km zaman.
Zamani wewe ulikuwa unawajua au uliambiwa? Nakuhakikishia kuwa siku hizi wanaume tuna nguvu zaidi ya wazamani ndo maana small house na vidumu vimezidi, bisha!
 
hakuna mgogoro wenye solution ya kwenda nje ya ndoa, hakuna!
Swadakta ila wengine kama Ayanda wanahulka za kulipiza kisasi ati kwa vile wewe umefanya na mie nifanye ili kulipiza. Ingawa sijafikia umri wa kuoa ila haya nayaona mwisho UKIMWI
 
sababu kubwa ni wanaume hawana nguvu za kiume km zaman.
Hilo nalo ndio Jibu, mashine ikipwaya tu unaona baridi lazima uingie mtaani kuna Style mpya zisijetupita maana kwa Wife mwenye watoto wangu wanne huwezi leo mwambia chuma mboga akakubali au kumgusia ule mtandao wa bei ..
Wanawake nao pia ukichoka anatafuta hata ka-House boy kuna jarani yangu hapa toka Oman kapata mshtuko wa mgongo sasa kazi ni Bibie wa kwake ana moto hivyo anachagua kijana tu wa kumsukutua kwa style zote
 
Back
Top Bottom