Wakazi wa Mtwara na Lindi, tupeni hali ya hewa na kile kinachojiri

Niwekee link mkuu
 
Mkuu tupo calm. The good thing is that yale maeneno yenye high risk hakuna mtu kwa sasa na the fact kwamba Mtwara ipo unpopulated imekuwa rahisi kuleta watu maeneo ya juu. Kwa sasa upepo ni mkali na wingu zito. Inshallah
Poleni, Mungu atawanusuru.......Inshallah!
 
Msijisahau kwasababu inaweza ikatokea kikafika usiku muda ambao ni mbaya zaidi, maana taarifa inaonyesha kuna hatari hadi saa tisa usiku
 
Ni kweli mkuu nipo kwenye hili anga la airport ngoja nirudi nyumbani nikajilalie vzr itakavyokuwa na iwe tu.
 
Mungu tu ametusaidia maana majirani wetu Comoro hali ni tete, kimbunga kimefanya uharibifu mkubwa sana. Pamoja na yote bado tunatakiwa kuchukua tahadhali.
The danger is at your backdoor!!

Yaani wewe na Al sahaf wa iraq hamtofautiani.

Be strong and stay safe!!
 
Dah ...kwa wale wenye nyumba zenye milango au madirisha ya vioo....wanaweza kugandisha gundi ya tape juu ya vioo ili kuongeza nguvu ya ukinzani kwenye vioo...pia itasaidia hata viking'oka madhara yawe madogo....ukiweka kwa mtindo wa X ni vizuri zaidi....yaani kama vile wanavyoweka kwenye nyumba zilizojengwa ndani ya hifadhi ya barabara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…