Wakazi wa Moshi mjini hatarini kupata kipindupindu sababu ya uchafu wa mazingira

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,859
4,673

Katika miongo kadhaa mji wa Moshi umejizolea sifa za usafi na ambao uliufanya mji huo kuwa na sifa za kipekee nchini ikiwa ni pamoja na kuongoza kwa usafi.

Hali hiyo imekua tofauti kwa miaka ya hivi karibuni kutokana na mji huo kuendelea kuporomoka katika nafasi za usafi na sasa ikiwa inashikilia nafasi ya pili.

Wasafi Media tumepita katika baadhi ya mitaa ya Moshi ikiwemo soko kubwa la Manyema ambalo huwakutanisha wafanyabishara zaidi ya 1000 kila siku huku uchafu ukiwa umekusanywa bila kuchukuliwa hali ambayo imegeuka tishio.

Mmoja wa viongozi wa soko hilo amesema sababu ya kutotolewa kwa uchafu huo kwa muda ni magari ya taka kupata hitilafu hali ambayo inazidi kuongeza tatizo.
 
Sawa
 
Back
Top Bottom